Ni njia ya kurusha makombora live baada ya kuzuia makombora ya Lissu kurushwa liveHakika huyu mkurugenzi wa tume ni kilaza! Eti anawapa talking notes wagombea urais katika hotuba zao, hajui kuwa kila mgombea ana sera zake?
Simple tu,nimekutoa huko usweken nikakupa ukurugenzi wa NEC,halafu mimi nagombea...wewe unasimamia uchaguzi,utakuwa upande wa nani? Kwangu au kwa mpinzani wangu? Ni jibu na wewe hili swali.,..mlileta hoja ya tume huru ya uchaguzi,ikaishia hewani,kwanini muingie kwenye uchaguzi usio huru? Dude .....[emoji1] we jamaa unaonekana upo NEC na wewe, njoo ujibu maswali hapo. Acheni kuanza kuleta bias
Elimu yako ni ndogo.Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Si watuachue wapiga kura tuamue, tumnajua mbivu na mbovuLissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Yule mkurugenzi ni kihiyo ambaye hajui majukumu yake au anafanya makusudi kwa kuwaona watanzania ni mazazwa. Kwa hili ameonesha kabisa kuwa hafai kuwa katika ile nafasi.Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Hiyo siyo kazi ya Tume, Lisu anaongea yale anayoamini yatamwongezea kura, usimpangie mtu cha kuongea na wananchi.Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Anaokoa jahazi linazama. Meli imetobokaWakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
Hii ndio imekuwa ikitu cost nchi changa ki diplomasia na inahitaji mabadiliko. Kuwa rais haimaanishi utakalotaka wewe hata kama sio sahihi ni sawa. Fikiria ni mara ngapi rais kama Donald Trump huwa anazuiliwa kufanya maamuzi yasiyo ya busara yenye hasira au chuki na Congress ambayo hayana maslahi kwa nchi.Simple tu,nimekutoa huko usweken nikakupa ukurugenzi wa NEC,halafu mimi nagombea...wewe unasimamia uchaguzi,utakuwa upande wa nani? Kwangu au kwa mpinzani wangu? Ni jibu na wewe hili swali.,..mlileta hoja ya tume huru ya uchaguzi,ikaishia hewani,kwanini muingie kwenye uchaguzi usio huru? Dude .....
Hizo sheria kandamizi mnazozitumia kupigia pesa kuwaibia watz masikini mwisho October.Kosa kidogo tu faini milioni 5 mwisho October.Waendesha mashitaka na mahakimu wamevuna mabilioni kwa kuchelewesha kesi huna pesa utaozea mahabusu,jiulize why jela masikini ndio wengi jibu hawana pesa za kununua Uhuru wao.Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Kibaraka wa dikteta anahofia kukosa kazi, baada ya ilo litumeccm kufumuliwa OctoberAnaokoa jahazi linazama. Meli imetoboka
Wapande jukwaani waliokoe jiwe lisizame tujue mojaImethebitikita tume iko kwa maslahi ya ccm
Unajua utaratibu wa kutunga sheria ipoje???Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Yes,ndio kulikuwa na jambo la mabadiliko ya katiba n.k,lingeshughulikiwa hili maana yake na tume huru ya uchaguzi ingepatikana,pia ingewezekana Rais kupunguziwa nguvu kwenye baadhi ya maamuzi na machaguzi,na uteuzi wa vyombo kama NEC,kwahiyo sasa katiba mpya ni suala la msingi si tu kwa upinzani,bali kwa watanzania wote.vinginevyo ndio kama hivi yan...Hii ndio imekuwa ikitu cost nchi changa ki diplomasia na inahitaji mabadiliko. Kuwa rais haimaanishi utakalotaka wewe hata kama sio sahihi ni sawa. Fikiria ni mara ngapi rais kama Donald Trump huwa anazuiliwa kufanya maamuzi yasiyo ya busara yenye hasira au chuki na Congress ambayo hayana maslahi kwa nchi.
Lazima Rais kamba yake iwe na defined length
Mkurugenzi anamtetea YOHANA aendelee kunywa POMBE....,Tangu lini mkurugenzi wa NEC ndio akajua waTZ wanataka nini. Waache uchaguzi uwe huru na haki ndio watafahamu watanzania wanataka nini
Ndicho ambacho mgombea wa urais kupitia Chadema amekuwa akisisitiza kinyume na yule anayesema yeye kwake katiba sio kiaumbele.Yes,ndio kulikuwa na jambo la mabadiliko ya katiba n.k,lingeshughulikiwa hili maana yake na tume huru ya uchaguzi ingepatikana,pia ingewezekana Rais kupunguziwa nguvu kwenye baadhi ya maamuzi na machaguzi,na uteuzi wa vyombo kama NEC,kwahiyo sasa katiba mpya ni suala la msingi si tu kwa upinzani,bali kwa watanzania wote.vinginevyo ndio kama hivi yan...
Nadhani utakuwa umepata majibu ya maswali yako.
Kuwa na akili basi hata baadhi ya masaa mkuu.Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Namba 4 sheria na taratibu haziruhusu?Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.
2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?
3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.
4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?
Nawasilisha
We hvi hujui nani anapeleka bills bungeni....hakuna sheria bila rais au serikaliLissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?