Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika kuliponya Taifa na kuiponya CCM ama kuziba masikio 2030 iwe ngumu zaid kuliko 2025.
Mzee JK umebaki kama Rais pekee mstaafu hili jambo nilakumshukuru Mungu ila yakupasa kutoka kwenye diplomasia na kuungana na wazee wa chama ili maamuzi magumu yafanyike kuliokoa Taifa ila pia kukiokoa chama. Hali sio nzuri na upo msemo unasema mficha maradhi kifo kita muumbua. CCM kwa sasa kuna makundi tena makundi mabaya sana makundi yawalio shiba wenye vibaraka ndani ya chama na makundi ya wenye njaa wenye nia yakuwaangusha walio shiba ikiwezekana tukose wote hii ni hatari. Hii ni hatari.
Shida ni moja tu kupitisha majina kibabe hili naona kama ufa mkubwa unaotaka kukimeza chama na huu ufa unakuja mpaka kwenye maongozo ya serikali mpaka kwenye nafasi za ubunge yaani kila mtu anataka arudi kama mlivyo mrudisha mwenyekiti na hapo ndio moto mkali unawaka kama mwenyekiti amerudishwa na sisi turudishwe bila kupingwa hili litaumiza chama na litaumiza Taifa.
Mnyukano utakuwa mkali sana na nchi itasimama ni swala la muda. Yaani hali itakuwa tete kuliko sasa.
Ushauri wa kwanza Inatakiwa patafutwe namna yakumwambia mwenyekiti akabidhi kiti chama kichaguwe wanaye mtaka ili mkienda kwenye mchujo wa wabunge pasichimbike.
Pili Mwenyekiti ajitoe kwa kinyang'anyiro aruhusu makamu aendelee ili chama kitafute makamu kutoka Zanzibar. Hapo nchi itapona. Naona kama Mh Baloz kama akipewa kijiti uwenda taifa likapoa na hii hali ikawa tulivu ghafla.
Tatu kama moja na mbili haviwezekani basi wabunge wote warudi pasipo mchujo ndani ya chama japo moto utawaka kila mtu anavuta kamba kwake.
Mwisho zibeni masikio muone mwisho wa hii picha kali ya kijasusi tangu kuwepo kwa Tz.
Mh Rais nakupenda natamani uwe rais wangu ila siwezi kuona unapata shida ya moyo au unapata shida kuongoza na Mungu anazungumza na watu kama sisi wadogo ila tulio pewa uwezo kubeba siri nzito za Mungu. Nilimshauri Mzee wangu pendwa na sasa nakushauri Mama Mpendwa ila sio lazima kuchukua maoni yangu ila Haya ni maoni na maono yangu. Asante