Mhii umerudi tena tunaogopaAsalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika kuliponya Taifa na kuiponya CCM ama kuziba masikio 2030 iwe ngumu zaid kuliko 2025.
Mzee JK umebaki kama Rais pekee mstaafu hili jambo nilakumshukuru Mungu ila yakupasa kutoka kwenye diplomasia na kuungana na wazee wa chama ili maamuzi magumu yafanyike kuliokoa Taifa ila pia kukiokoa chama. Hali sio nzuri na upo msemo unasema mficha maradhi kifo kita muumbua. CCM kwa sasa kuna makundi tena makundi mabaya sana makundi yawalio shiba wenye vibaraka ndani ya chama na makundi ya wenye njaa wenye nia yakuwaangusha walio shiba ikiwezekana tukose wote hii ni hatari. Hii ni hatari.
Shida ni moja tu kupitisha majina kibabe hili naona kama ufa mkubwa unaotaka kukimeza chama na huu ufa unakuja mpaka kwenye maongozo ya serikali mpaka kwenye nafasi za ubunge yaani kila mtu anataka arudi kama mlivyo mrudisha mwenyekiti na hapo ndio moto mkali unawaka kama mwenyekiti amerudishwa na sisi turudishwe bila kupingwa hili litaumiza chama na litaumiza Taifa.
Mnyukano utakuwa mkali sana na nchi itasimama ni swala la muda. Yaani hali itakuwa tete kuliko sasa.
Ushauri wa kwanza Inatakiwa patafutwe namna yakumwambia mwenyekiti akabidhi kiti chama kichaguwe wanaye mtaka ili mkienda kwenye mchujo wa wabunge pasichimbike.
Pili Mwenyekiti ajitoe kwa kinyang'anyiro aruhusu makamu aendelee ili chama kitafute makamu kutoka znz. Hapo nchi itapona. Naona kama Mh Baloz kama akipewa kijiti uwenda taifa likapoa na hii hali ikawa tulivu ghafla.
Tatu kama moja na mbili haviwezekani basi wabunge wote warudi pasipo mchujo ndani ya chama japo moto utawaka kila mtu anavuta kamba kwake.
Mwisho zibeni masikio muone mwisho wa hii picha kali ya kijasusi tangu kuwepo kwa Tz. Haya ni maoni na maono yangu. Asante
Very good observation but honestly CHURA KIZIWI ANA UWEZO MDOGO SANA ALMOST NI ZERO IQ! Hawezi kuendesha hii nchi na wala asidhani kuwa ana sifa ya kuiongoza Tanzania kwa sasa .Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika kuliponya Taifa na kuiponya CCM ama kuziba masikio 2030 iwe ngumu zaid kuliko 2025.
Mzee JK umebaki kama Rais pekee mstaafu hili jambo nilakumshukuru Mungu ila yakupasa kutoka kwenye diplomasia na kuungana na wazee wa chama ili maamuzi magumu yafanyike kuliokoa Taifa ila pia kukiokoa chama. Hali sio nzuri na upo msemo unasema mficha maradhi kifo kita muumbua. CCM kwa sasa kuna makundi tena makundi mabaya sana makundi yawalio shiba wenye vibaraka ndani ya chama na makundi ya wenye njaa wenye nia yakuwaangusha walio shiba ikiwezekana tukose wote hii ni hatari. Hii ni hatari.
Shida ni moja tu kupitisha majina kibabe hili naona kama ufa mkubwa unaotaka kukimeza chama na huu ufa unakuja mpaka kwenye maongozo ya serikali mpaka kwenye nafasi za ubunge yaani kila mtu anataka arudi kama mlivyo mrudisha mwenyekiti na hapo ndio moto mkali unawaka kama mwenyekiti amerudishwa na sisi turudishwe bila kupingwa hili litaumiza chama na litaumiza Taifa.
Mnyukano utakuwa mkali sana na nchi itasimama ni swala la muda. Yaani hali itakuwa tete kuliko sasa.
Ushauri wa kwanza Inatakiwa patafutwe namna yakumwambia mwenyekiti akabidhi kiti chama kichaguwe wanaye mtaka ili mkienda kwenye mchujo wa wabunge pasichimbike.
Pili Mwenyekiti ajitoe kwa kinyang'anyiro aruhusu makamu aendelee ili chama kitafute makamu kutoka Zanzibar. Hapo nchi itapona. Naona kama Mh Baloz kama akipewa kijiti uwenda taifa likapoa na hii hali ikawa tulivu ghafla.
Tatu kama moja na mbili haviwezekani basi wabunge wote warudi pasipo mchujo ndani ya chama japo moto utawaka kila mtu anavuta kamba kwake.
Mwisho zibeni masikio muone mwisho wa hii picha kali ya kijasusi tangu kuwepo kwa Tz. Haya ni maoni na maono yangu. Asante
We bwege km umeharibu mambo yako kapambane na hali yako. Na km huwezi siasa usilazimishe, mshamba mkubwa usiye na haya unakuja kubwabwaja porojo za hovyo huku? Aibu yako.Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika kuliponya Taifa na kuiponya CCM ama kuziba masikio 2030 iwe ngumu zaid kuliko 2025.
Mzee JK umebaki kama Rais pekee mstaafu hili jambo nilakumshukuru Mungu ila yakupasa kutoka kwenye diplomasia na kuungana na wazee wa chama ili maamuzi magumu yafanyike kuliokoa Taifa ila pia kukiokoa chama. Hali sio nzuri na upo msemo unasema mficha maradhi kifo kita muumbua. CCM kwa sasa kuna makundi tena makundi mabaya sana makundi yawalio shiba wenye vibaraka ndani ya chama na makundi ya wenye njaa wenye nia yakuwaangusha walio shiba ikiwezekana tukose wote hii ni hatari. Hii ni hatari.
Shida ni moja tu kupitisha majina kibabe hili naona kama ufa mkubwa unaotaka kukimeza chama na huu ufa unakuja mpaka kwenye maongozo ya serikali mpaka kwenye nafasi za ubunge yaani kila mtu anataka arudi kama mlivyo mrudisha mwenyekiti na hapo ndio moto mkali unawaka kama mwenyekiti amerudishwa na sisi turudishwe bila kupingwa hili litaumiza chama na litaumiza Taifa.
Mnyukano utakuwa mkali sana na nchi itasimama ni swala la muda. Yaani hali itakuwa tete kuliko sasa.
Ushauri wa kwanza Inatakiwa patafutwe namna yakumwambia mwenyekiti akabidhi kiti chama kichaguwe wanaye mtaka ili mkienda kwenye mchujo wa wabunge pasichimbike.
Pili Mwenyekiti ajitoe kwa kinyang'anyiro aruhusu makamu aendelee ili chama kitafute makamu kutoka Zanzibar. Hapo nchi itapona. Naona kama Mh Baloz kama akipewa kijiti uwenda taifa likapoa na hii hali ikawa tulivu ghafla.
Tatu kama moja na mbili haviwezekani basi wabunge wote warudi pasipo mchujo ndani ya chama japo moto utawaka kila mtu anavuta kamba kwake.
Mwisho zibeni masikio muone mwisho wa hii picha kali ya kijasusi tangu kuwepo kwa Tz. Haya ni maoni na maono yangu. Asante
Zombie lingine hiloNaendelea kustaajabishwa sana na baadhi ya wabunge na wana CCM kuona watu kutekwa, kupigwa na kukutwa wamekufa au kuokotwa wakiwa wameumizwa sio jambo la kutisha bali kukosolewa kwa rais na Mwenyekiti ndio jambo la kutisha na kukwaza sana.
Hii nchi inahitaji maombi ya kufunga kwa siku 40.
Lione hili zuzuTaifa lina mimba kubwa tu... Wakati wa kujifungua kisipokufa kichanga, basi kisulisuli kitambeba mamakija
Makamu yupi aendelee,yule mvimba mashavu Nchimbi?Bora huyu Bibi aendelee tu,huyo hafai hata kidogoAsalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya sana Taifa limebagazwa duniani huwitaji jicho la Tatu ila maamuzi magumu hayana budi kufanyika kuliponya Taifa na kuiponya CCM ama kuziba masikio 2030 iwe ngumu zaid kuliko 2025.
Mzee JK umebaki kama Rais pekee mstaafu hili jambo nilakumshukuru Mungu ila yakupasa kutoka kwenye diplomasia na kuungana na wazee wa chama ili maamuzi magumu yafanyike kuliokoa Taifa ila pia kukiokoa chama. Hali sio nzuri na upo msemo unasema mficha maradhi kifo kita muumbua. CCM kwa sasa kuna makundi tena makundi mabaya sana makundi yawalio shiba wenye vibaraka ndani ya chama na makundi ya wenye njaa wenye nia yakuwaangusha walio shiba ikiwezekana tukose wote hii ni hatari. Hii ni hatari.
Shida ni moja tu kupitisha majina kibabe hili naona kama ufa mkubwa unaotaka kukimeza chama na huu ufa unakuja mpaka kwenye maongozo ya serikali mpaka kwenye nafasi za ubunge yaani kila mtu anataka arudi kama mlivyo mrudisha mwenyekiti na hapo ndio moto mkali unawaka kama mwenyekiti amerudishwa na sisi turudishwe bila kupingwa hili litaumiza chama na litaumiza Taifa.
Mnyukano utakuwa mkali sana na nchi itasimama ni swala la muda. Yaani hali itakuwa tete kuliko sasa.
Ushauri wa kwanza Inatakiwa patafutwe namna yakumwambia mwenyekiti akabidhi kiti chama kichaguwe wanaye mtaka ili mkienda kwenye mchujo wa wabunge pasichimbike.
Pili Mwenyekiti ajitoe kwa kinyang'anyiro aruhusu makamu aendelee ili chama kitafute makamu kutoka Zanzibar. Hapo nchi itapona. Naona kama Mh Baloz kama akipewa kijiti uwenda taifa likapoa na hii hali ikawa tulivu ghafla.
Tatu kama moja na mbili haviwezekani basi wabunge wote warudi pasipo mchujo ndani ya chama japo moto utawaka kila mtu anavuta kamba kwake.
Mwisho zibeni masikio muone mwisho wa hii picha kali ya kijasusi tangu kuwepo kwa Tz. Haya ni maoni na maono yangu. Asante
Wewe unawatetea wabakaji, watekaji na wauaji kwanini? Unapata faida gani?Zombie lingine hilo
Huyu ni wakala wa mafisadi na magenge ya wizi hii nchi kwa Sasa ni Lissu tu ndiye anaweza inyooshaMakamu yupi aendelee,yule mvimba mashavu Nchimbi?Bora huyu Bibi aendelee tu,huyo hafai hata kidogo
Ikimari kwa kihangaza ni PunguaniWe bwege km umeharibu mambo yako kapambane na hali yako. Na km huwezi siasa usilazimishe, mshamba mkubwa usiye na haya unakuja kubwabwaja porojo za hovyo huku? Aibu yako.
Kulîda maslahi yasiyozingatia haki na usawa ni gharama.Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.