PreGE2025 Kwanini tumefika hapa na kwanini kuna giza mbele ya Taifa la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuiponya CCM? CCM inapaswa kuwa imeshakufa. Miaka yote hiyo imepewa jukumu la kuongoza lakini baada ya kufika kileleni imeishia kuteka? Why?
Kuiponya nchi.

Demokrasia ikifuatwa, watu wakachukua fomu, mshindi akipatikana,

Wakiingia kwa uchaguzi, wananchi wakamchagua yeyote chama chochote watakacho ndio demokrasia,

Na nchi ndio itazidi kuwa salama,

Sasa huoni baada ya kuzuia wenzie wasichhukie fomu, huoni anajaribu kuifuta CDM Ili abaki pekee?

Hili halitatokea kamwe!!
 
akitoka raisi mwanamke inchi wanachukua upinzani. una hisi watu walikosea.

nothing will change, the fate has been decided. hata ufanye nini. the ccm you know and cared is gone
 
Unajilisha upepo kama mlivyojilisha kipindi kile Cha ramli za kusema hamalizi miaka 2.

Hii Ngoma tukutane 2030.
 
Reactions: Tui
Kama issue itakua ni CCM kuuana wenyewe kisa ubunge kwangu sioni tatizo safi tu.
 
Wewe inajulikana wazi tangia awali kuwa una chuki binafsi na Uongozi wa Awamu hii pamoja na Rais Samia Mwenyewe. Kwa hiyo unajifanya kutunga vimaneno vya uongo na uzushi uzushi tu hapa kuwatia hofu watu.
 
Bibi Kizimkazi hii ngoma hatoboi; ghafla bin vuu kaharibu nje ndani hana pa kushika kudadeki
 
Mungu ana njia yake tayari,relux
Usiwape ushauri gawataufanyia kazi,haya mambo hayana budi kutokea Ili Mungu ajitwalie utukufu
 
Njaa mbaya sana. Ivi Hawa wabunge hawaogopi wapiga kura wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…