PreGE2025 Kwanini tumefika hapa na kwanini kuna giza mbele ya Taifa la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We bwege km umeharibu mambo yako kapambane na hali yako. Na km huwezi siasa usilazimishe, mshamba mkubwa usiye na haya unakuja kubwabwaja porojo za hovyo huku? Aibu yako.
Aiseee hivi mbona hamna aibu?ila saa yaja mtakaa sawa tu ni swala la muda
 
Honestly kabisa. Bibi Uozo , IQ ni chini ya Zero.
 

Mzee naye ana jina lake mfukoni 😂😂😂😍😍
 
Niliwaambia nini? Haya pambaneni na hali yenu
 
Cod ngumu sana hii nimejikuta nachek kwa saut
 
Niliwaambia nini? Haya pambaneni na hali yenu
Kuna kitu ndani yako Mungu amekieka, wengi hatujakijua lakini usiache kutupasha yale yajayo, ili yakitokea utukufu wa Mungu ujizihirishe hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…