Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.
Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua.
Je makatazo haya hayapelekei kuathiri uchumi mpana wa nchi? Je, wanaonufaika na huu mvurugano wanania njema au wanalenga lao lakuwatisha watawala ili wao waendelee kupewa respects?
Tukumbuke hapa ndipo uzaliwa bajeti kubwa ya ulinzi wa RAIA na ununuzi wa magari ya washawasha......let us think twice