Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuruHakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.
Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua.
Je makatazo haya hayapelekei kuathiri uchumi mpana wa nchi? Je, wanaonufaika na huu mvurugano wanania njema au wanalenga lao lakuwatisha watawala ili wao waendelee kupewa respects?
Tukumbuke hapa ndipo uzaliwa bajeti kubwa ya ulinzi wa RAIA na ununuzi wa magari ya washawasha......let us think twice
Kwa sababu tuna baadhi ya watu katika nchi hii ambao ni wazi wana tatizo la afya ya akili, ndani ya serikali, CCM na PolisiHakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.
Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua.
Je makatazo haya hayapelekei kuathiri uchumi mpana wa nchi? Je, wanaonufaika na huu mvurugano wanania njema au wanalenga lao lakuwatisha watawala ili wao waendelee kupewa respects?
Tukumbuke hapa ndipo uzaliwa bajeti kubwa ya ulinzi wa RAIA na ununuzi wa magari ya washawasha......let us think twice
Tukitegemea Polisi tutashindwa- KikweteKutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuru
Maandamano ya Vurugu?! Tumefanya Maandamano ya AMANI Nchi nzima hizo hoja zenu ni za kipuuzi.Kutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuru
Hata Wananchi hawakubaliani na vurugu za Chadema kila siku taharuki zisizo IshaTukitegemea Polisi tutashindwa- Kikwete
Hujiulizi Kwa nini saizi mumezuiwa? Si mlikuwa na njama zenu kwani nani hajui? Ndio maana hata Wananchi wanawapuuzaMaandamano ya Vurugu?! Tumefanya Maandamano ya AMANI Nchi nzima hizo hoja zenu ni za kipuuzi.
Hakuna kitu, kama kulikuwa na NJAMA kwanini tusfanyie Daresalaam ambako ndio mambo yote, na Ofisi za Mabalozi wote wa Dunia wako hapa.Hujiulizi Kwa nini saizi mumezuiwa? Si mlikuwa na njama zenu kwani nani hajui? Ndio maana hata Wananchi wanawapuuza
Kaulizwa IGP kwamba Chadema waliwahi kufanya vurugu gani kashindwa kujibu, sasa kama wewe unalo jibu tuambieHata Wananchi hawakubaliani na vurugu za Chadema kila siku taharuki zisizo Isha
Kazi ya Polisi ni kunusa vurugu mapema ,kama this time mlipanga kufanya vurugu why msidhibitiwe.Kaulizwa IGP kwamba Chadema waliwahi kufanya vurugu gani kashindwa kujibu, sasa kama wewe unalo jibu tuambie
Polisi gani hao wanaotembea na Ilani za CCM kwenye magwanda yao?!Kazi ya Polisi ni kunusa vurugu
Hilo la kwako Sasa ndio maana mnafeliPolisi gani hao wanatembea na Ilani za CCM kwenye magwanda yao?!
Binti wa yomboKutaka kuitisha maandamano ya vurugu Kwa nini? Polisi shikilieni hapo hapo Kwa sababu Chadema wamechoka na uhuru
Sawa ila Polisi wamenifurahisha Kwa kuwashikisha adabu,Sasa hivi wanaimba wimbo mmja hii hapa ππππBinti wa yombo
Tumia akili yako vizuri......wanaoleta taharuki ni polisi sio Chadema... π πHata Wananchi hawakubaliani na vurugu za Chadema kila siku taharuki zisizo Isha
Ccm ni sikio laekufaHakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.