Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

Hilo ziwa limamilikiwa na nchi 3 sidhani kama Kenya na Uganda watakubali hilo jina unalosema la asili. Yatakuwa yale yale ya ziwa nyasa dunia nzima inaliita Lake Malawi hadi ramani za Google zinaonesha hivyo ila sisi tunaita ziwa nyasa
 
Ziwa lilikuwa na jina lake la asili. Kama ndio hilo nyanza basi lirudishwe hilo.

Halafu google majina yanaandikwa na watu.
 
Zama hizo ulikuwa na nani wa kukataa au kukubali wakati hata mipaka wameweka hao hao, tena wakiwa huko Berling.
 
Ukoloni umetawala akili zetu aisee, inahuzunisha
Yaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
 
Wewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Nani alikwambia waafrika hawakuwa na teknolojia? Miaka mingi afrika kuna maandishi, hesabu, ugunduzi wa chuma, ubunifu wa mavazi, tamaduni zenye staha na civilization ya aina yetu.

Umekuwa brain washed mpaka unajidharau.
 
Back
Top Bottom