Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Hujaelewa point. Ninachotaka kukuambia ni kwamba upende usipende, majina yapo ambayo yaliachwa na wakoloni, na kuyaacha yatumike ni sehemu ya historia.Wapi nimeitwa hivyo na malkia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa point. Ninachotaka kukuambia ni kwamba upende usipende, majina yapo ambayo yaliachwa na wakoloni, na kuyaacha yatumike ni sehemu ya historia.Wapi nimeitwa hivyo na malkia?
Tulipata uhuru hivyo tupo huru kubadilisha majina badala ya kutunza mambo yanayowapa heshima watesi wa mababu zetuHujaelewa point. Ninachotaka kukuambia ni kwamba upende usipende, majina yapo ambayo yaliachwa na wakoloni, na kuyaacha yatumike ni sehemu ya historia.
Huyo jamaa japo umemdharau lakini kaongea ukweli mtupu. Wafrika tunashida sana kichwaniWewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Nani alikwambia waafrika hawakuwa na teknolojia? Miaka mingi afrika kuna maandishi, hesabu, ugunduzi wa chuma, ubunifu wa mavazi, tamaduni zenye staha na civilization ya aina yetu.
Umekuwa brain washed mpaka unajidharau.
Lugha ya taifa ni KiswahiliTulipata uhuru hivyo tupo huru kubadilisha majina badala ya kutunza mambo yanayowapa heshima watesi wa mababu zetu
Madai yako haya ni ya kweli kabisa kwa hali ya sasa ilivyo lakini hii isiwe sababu ya mwafrika kujidharau.Huyo jamaa japo umemdharau lakini kaongea ukweli mtupu. Wafrika tunashida sana kichwani
1. Elimu na mtaala wake unatumia wa mzungu
2. Lugha ya Kiswahili imesanifishwa na mzungu. Hii unayotumia sasa japo wafrika walikuwepo
3. Katiba, sheria pamoja na ngazi za uongozi ni ya wazungu
4. Ukiongea kiingereza unaonekana wa maana sana. Interview unatumia lugha ya kiingereza
5. Mikopo tunawakopa wao wazungua
6. Dini unatumia za watu, usipotumia ya mzungu, utatumia ya mwaarabu
Wewe kama mwafrika una nini ambacho kinakutambulisha kuwa wewe ni mwafrika kwa sasa? Hivyo vitu vyote ulivyovitaja ukivtafuta usome, utakutana na vitabu vya wazungu. Utakuja kushangaa mpaka historia ya Tanganyika imeandikwa na mzungu.
Wewe nawe fanya hata tafiti ndogo tu utafahamu gunduzi nyingi zimefanywa na ngozi gani.Yaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Kufahamu na kutumia lugha mbalimbali za ulimwengu huu hazijatufanya tukadharau kiswahili. Marekani inatumia kiingereza lakini imeweza kutoboa. Ulimwengu wa biashara na uhusiano wa kimataifa tunatumia kiingereza ili kuwasiliana.Lugha ya taifa ni Kiswahili
1. Kwanini ukienda mahakamani, sheria zimeandikwa kwa lugha ya kiingereza?
2. Kwanini kwenye elimu kuanzia sekondari na kuendelea tunatumia lugha ya Kiingereza na Lugha ya kiswahili inatumika kama somo?
Tumepata uhuru tangu 1961 lakini kwanini haya mambo bado yapo?
Mkuu unaweza kuwa na point lakini umeandika kibinafsi sana hili ni swala pana na linahitaji ubishani wa hojaYaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Limbukeni huyu Mwamba hawa ndio wanaosababishwa Waafrica tudharaulikeWewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Nani alikwambia waafrika hawakuwa na teknolojia? Miaka mingi afrika kuna maandishi, hesabu, ugunduzi wa chuma, ubunifu wa mavazi, tamaduni zenye staha na civilization ya aina yetu.
Umekuwa brain washed mpaka unajidharau.
Waafrika wameamua kukumbatia maamuzi ya watu waliowatesa.Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Wazo hilo likitekelezwa litatusaidia nini cha ziada? Unawaza trivial issues sana ndugu.Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Jisemee mwenyewe.Yaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Hapo ushamba ni upi?Wasukuma hamuishiwi ushamba
Ina maana tungekuwa bado ni "bushmen" . Utasikia haya majengo ya mkoloni, hii meli, reli ilietwa na mkoloni. Kuna vitu vingi vizuri mkoloni katuletea, yale mabaya hayawezi kutufanya tuchukie historia. Jina Victoria tumelikubali kama kumbukumbu ya utawala wa waingereźa. Hata uko Zanzibâr kuna eneo linaitwa kwa Mchina, hapo kuna hitoria sio kumuenzi mchinaYaani nyie mnaodhiakigi wazungu huwa nawashaangaaga sana, ni watu msiokuwa na shukrani hata kidogo. Hivi ulishawahi kujiuliza bila wazungu kuja tungekuwa tunaishije sasa hivi, kuanzia nyumba, mawasiliano, usafiri, elimu, matibabu, mavazi, nishati kama umeme. Upo hapo unachati na kuandika kama vile babu yako ndo aliyebuni maandishi na kueneza elimu. Kutawaliwa ilikuwa ni lazima ili kuleta balance maana bila hivyo hiyo mifumo ya huduma visingefanikiwa kwa ufanisi ndo maana hata baada ya wao kutuachia nchi zetu mambo ni ya kusuasua. Ngozi nyeusi ni nature yetu kuwa na uwezo mdogo wa kiakili na ubunifu.
Kwa Uganda sina uhakika ila kwa Kenya sidhani kama wataleta shida maana hilo jina wanalitambua vizuri siyo geni kwaoHilo ziwa limamilikiwa na nchi 3 sidhani kama Kenya na Uganda watakubali hilo jina unalosema la asili. Yatakuwa yale yale ya ziwa nyasa dunia nzima inaliita Lake Malawi hadi ramani za Google zinaonesha hivyo ila sisi tunaita ziwa nyasa
Sisi wenyeji wa sehemu hizo tu aliita Nyanza. Na huko Kagera wanaliita Rweru.Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?