Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo majina nitakuwa nimejipa mimi mwenyewe. Hapa tunaongelea rasilimali yetu kupewa jina la mtu aliyeua mababu zetu.Hapo ulipo ukute mtoto wako Anaitwa Elizabeth...Nawe mwenyewe unaitwa John.Lakini hilo hujaliona umeona jina la Ziwa....
Lirudishwe hili. Huyo malkia katili aliua mababu zetu.
Lirudishwe hili. Huyo malkia katili aliua mababu zetu.
Lirudishwe hili. Huyo malkia katili aliua mababu zetu.
Mwambie huyo "karagwe "ilifua chuma kabla ya ulaya.Wewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Nani alikwambia waafrika hawakuwa na teknolojia? Miaka mingi afrika kuna maandishi, hesabu, ugunduzi wa chuma, ubunifu wa mavazi, tamaduni zenye staha na civilization ya aina yetu.
Umekuwa brain washed mpaka unajidharau.
Mbona simple sana, ziwa TAKEU au UKETA, au KETAU, au KEUTAHilo ziwa limamilikiwa na nchi 3 sidhani kama Kenya na Uganda watakubali hilo jina unalosema la asili. Yatakuwa yale yale ya ziwa nyasa dunia nzima inaliita Lake Malawi hadi ramani za Google zinaonesha hivyo ila sisi tunaita ziwa nyasa
Aolewe na msukuma atajikuta kawapendaHuyo hawapendi wasukuma
Hizi ni akili za wapi? Leo hii kama wazazi wako wapo hai halafu mtu akawaua utakuwa hujazaliwa?
Akili kama hizo ni zile zilizoharibiwa na ukoloni.

Sidhani kama unaweza kutumia akili vizuri. Hesabu utakuwa huzijui kabisa.Wazazi wangu sawa na sio Babu yangu, akili zako za wapi wewe??, hebu niambie umri wako leo ni miaka mingapi na hesabu toka hao wazungu waingereza walipotutawala hadi sasa ni miaka mingapi???, kifupi ni kwamba Generation ya Babu yako (katika zama za ukoloni wa kiingereza) na generation yako ni miaka mingi imepita kudai kwamba Babu yako aliuawa na wewe uwe hai hii leo!!!
Haiwezekani tena, ambae angeweza hata kujaribu kurudisha hilo jina la asili ni jpm tu. Hawa wengine hawana ubavu huo.Sio turudishe jina lake la asili?
Sidhani kama unaweza kutumia akili vizuri. Hesabu utakuwa huzijui kabisa.
KweliInasikitisha
IDD AMIN alikataa huo upumbavu na akabadilisha maziwa, Milima na Barabara zote zenye ubini wa kizungu kule Uganda na kushauri Viongozi wote wa kiafrika wafanye hivyo.Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.
Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Nyanza kwa kisukuma inamaanisha ziwa.Basi zamani Mwanza iliitwa Nyanza,naskia hata hilo ziwa