Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Sitaki nataka 😄😄😄😄Leo kuna manzi ni workmate imeanza kunitext tangu asubuhi na viemoji vingi vingi whatsapp. Jioni hii amefunguka anataka aje apajue kwangu (hua naileteaga ukauzu sana kazini namba yenyewe kadukua kwenye group la watumishi ambalo tuko pamoja). Ni pisi ya haja na najua anachotaka ila namkazia mpaka aseme mwenyewe!
😂😂Af wenye sura mbaya ndo wanahonga balaaa ila mahandsome hawanaga tym hata kama hana elaKuna kitu me huwa najiuliza,,,kwanini wanaume wenye muonekano(handsome guys) hawahangaikii mbususu matokeo yake ni kama huwa zinawakimbilia tofauti na mwanaume wa kawaida,,,na-experience na hili that's why huwa najiuliza kwanini wale wasio na good appearance huwa ni kama wanazihangaikia sana mbunye coz unaweza kuta mwanamke ana bwana wake anamhudumia fresh kipesa lakini ajabu akawa na mchepuko wake wenye good looking kumzidi bwana yake na ndo ukawa unamkaza kuzidi hata mshikaji mwenyewe mwenye mali.
Sura mbaya ni ATM mahandsome ni wa kuuzia sura fb,insta,wasap.Halafu pana wanaume wa show yaani Kazi kazi😂😂Af wenye sura mbaya ndo wanahonga balaaa ila mahandsome hawanaga tym hata kama hana ela
Mwanamke akikupenda ndo utagundua kumbe hawa watu
Wanampa hela mwanaume
Wanaomba game
Wanawivu balaaaa
Kuna mmoja ana kula hasara kuliko wote hapo😂Sura mbaya ni ATM mahandsome ni wa kuuzia sura fb,insta,wasap.Halafu pana wanaume wa show yaani Kazi kazi
ATM uhakika maana kashika mpini,ndie analipa kodi,saluni,vocha nk.Kuna mmoja ana kula hasara kuliko wote hapo😂
Uke wa alie kuzaa labdaUke ni sperm dump hauna maana yoyote.
Hapana haloi,Kuna mmoja alinipa siri ni mke wa mtu mme wake yuko mbali kikazi ni hawa wavaa khaki na field green na kofia nyeusi.Huyu mbeijing zikimzidi huwa anajikanda na maji ya uvuguvugu kule bongeni kijiliwaza sikumuuliza kama hiyo mbinu yake huwa inamfanya mpaka analowa au vipi
Vijana wapumbavu kweli wanatoa maoni kwa hasira za mademu wao walio watosa .
OkHapana haloi,
Hiyo anafanya ili kukata hamu ya ngono,
Kwa kufanya hvo ile ham yote ya kuhitaji ngono inaisha papo hapo,
INAVYOSEMEKANA
Tatizo hiloooMore info ni kuwa demu alikutwa analiwa mbususu kwenye chumba alichopangishiwa naarehemu , sema dah marehemi ni msukuma wa wilayani kwimba , mwanza
universal truth doesn't existMbona. Unajumuisha wanaume wote??unadhan kila mwanaume yupo kama wew?
Almost hakuna, huon kwamba Kwa huo ufinyu wao wa options ndio ilibidi wawe watumwa kwetuKipi cha ziada wanaweza offer kukutunuku
Huu ukweli una-apply Kwa wapuuzi tu wachache ambao umetuathiri wanaume woteKwan ni uongo? Si ni kweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]