Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa au Birthday ya Yesu, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe, sijawahi kusikia sikukuu ya kufa kwa Yesu, mnafikiri ni kwa nini ?
Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu Nyerere aliyofariki? Dunia nzima nchi husherehekea siku ya kuzaliwa ya mtu maarufu aliyefariki na siyo kifo chake, ukisikia Mandela Day ni siku aliyozaliwa Mandela birthday yake na siyo siku aliyokufa, hata Martin Luther Jr. Day USA ni Birthday ya Martin Luther na siyo siku aliyokufa, Gadhi day ni Birthday ya Mahatma Gadhi India na siyo siku aliyofariki, Dunia nzima hakuna nchi inayotenga siku ya kufa Kiongozi wake kama Holliday bali ni Birthday yake, hata kwenye Uislamu, Maulid ni birthday ya Mtume (SAW) na siyo siku kufa kwake.
Sasa kwa nini Tanzania iko tofauti na Dunia nzima? Eti Nyerere Day ni siku ya kifo cha Mwalimu Nyerere na watu wanasherehekea kabisa na kupongezana eti happy Nyerere Day , kuna kipi cha kuwa happy siku ya kifo?
TZ ni low IQ!