Kwanini tunaadhimisha siku ya kufa Nyerere badala ya kuzaliwa kwake kama wafanyavyo wengine?

Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe.

Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu Nyerere aliyofariki? Dunia nzima nchi husherehekea siku ya kuzaliwa ya mtu maarufu aliyefariki na siyo kifo chake, ukisikia Mandela Day ni siku aliyozaliwa Mandela birthday yake na siyo siku aliyokufa, hata Martin Luther Jr. Day USA ni Birthday ya Martin Luther na siyo siku aliyokufa, Gadhi day ni Birthday ya Mahatma Gadhi India na siyo siku aliyofariki, Dunia nzima hakuna nchi inayotenga siku ya kufa Kiongozi wake kama Holliday bali ni Birthday yake, hata kwenye Islam Maulid ni birthday ya Mtume (SAW) na siyo kufariki kwake.

Sasa kwa nini Tanzania iko tofauti na Dunia nzima? Eti Nyerere Day ni siku ya kifo cha Mwalimu Nyerere na watu wansherehekea kabisa na kupongezana eti happy Nyerere Day , kuna kipi cha kuwa happy siku ya kifo?

TZ ni low IQ!
wewe nyerere sio Yesu period
 
Yule mzee alituachia nchi masikini na siasa zake za ujamaa...ndio maana tunasherekea kifo chake
 
Siku ya kuzaliwa kwake unaweza kuwa guess work. Siku ya kifo chake ni more precise . *Tumebaki yatima" wale vijana walivyokuwa wanachant (wanaimba)walipokuwa wanausindikiza mwili wa Mwalimu ulipowasili Airport.
 
Ndiyo maajabu ya Tanzania hayo, Nyerere Day ni siku aliyokufa Mwalimu Nyerere, wanafanya sherehe tena wanaambiana happy Nyerere day, Tanzania watu wana akili ndogo sana!

Kuna mfumo mpya wa Maisha now
Mtu muhimu au celebrity akifa inakuwa ni kusherehekea kifo chake
 
Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe.

Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu Nyerere aliyofariki? Dunia nzima nchi husherehekea siku ya kuzaliwa ya mtu maarufu aliyefariki na siyo kifo chake, ukisikia Mandela Day ni siku aliyozaliwa Mandela birthday yake na siyo siku aliyokufa, hata Martin Luther Jr. Day USA ni Birthday ya Martin Luther na siyo siku aliyokufa, Gadhi day ni Birthday ya Mahatma Gadhi India na siyo siku aliyofariki, Dunia nzima hakuna nchi inayotenga siku ya kufa Kiongozi wake kama Holliday bali ni Birthday yake, hata kwenye Islam Maulid ni birthday ya Mtume (SAW) na siyo kufariki kwake.

Sasa kwa nini Tanzania iko tofauti na Dunia nzima? Eti Nyerere Day ni siku ya kifo cha Mwalimu Nyerere na watu wansherehekea kabisa na kupongezana eti happy Nyerere Day , kuna kipi cha kuwa happy siku ya kifo?

TZ ni low IQ!
Mkuu hili ni swali nami nimejiuliza.
 
Back
Top Bottom