Kwanini tunaadhimisha siku ya kufa Nyerere badala ya kuzaliwa kwake kama wafanyavyo wengine?

wewe nyerere sio Yesu period
 
Yule mzee alituachia nchi masikini na siasa zake za ujamaa...ndio maana tunasherekea kifo chake
 
Siku ya kuzaliwa kwake unaweza kuwa guess work. Siku ya kifo chake ni more precise . *Tumebaki yatima" wale vijana walivyokuwa wanachant (wanaimba)walipokuwa wanausindikiza mwili wa Mwalimu ulipowasili Airport.
 
Yule mzee alituachia nchi masikini na siasa zake za ujamaa...ndio maana tunasherekea kifo chake
Mwalimu alileta Uhuru. Sasa hatuna uhuru. Sasa kuna political oppression ambayo unaleta kinyaa.
 
Ndiyo maajabu ya Tanzania hayo, Nyerere Day ni siku aliyokufa Mwalimu Nyerere, wanafanya sherehe tena wanaambiana happy Nyerere day, Tanzania watu wana akili ndogo sana!

Kuna mfumo mpya wa Maisha now
Mtu muhimu au celebrity akifa inakuwa ni kusherehekea kifo chake
 
Mkuu hili ni swali nami nimejiuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…