Kwanini tunaendelea kupakana rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)?

Sasa tutaiba vipi izo kura tukianza kuiachia computer ifanye authentications kwa kutumia fingerprint?
 
Wazo zuri sana ila sio kwa Tz ya Mijiziiiii
 
Kabisa
 
Ungetolea ata Mfano basi,useme mfano wenzetu wapiga kura wa Kenya au Rwanda waliweka fingprint ikatosha hivyo.

Sie wengine bila mifano hatuelewi
 
Ungetolea ata Mfano basi,useme mfano wenzetu wapiga kura wa Kenya au Rwanda waliweka fingprint ikatosha hivyo.
Kwani Tanzania haiwezi kuanzisha jambo mpaka iige kutoka nchi zingine? Mbona mnashindwa kujiamini namna hiyo?...
 
Sie wengine bila mifano hatuelewi
Kwanini kila jambo lianzie nchi zingine kisha ndio lije Tanzania? Kwani sisi hatuwezi kuanzisha jambo letu wenyewe kisha likaenda huko kwingine? Jiamini mkuu.
 
Kuiba tena? Mimi mbona sijaongelea suala la kuiba mkuu?
Mimi naulisa wewe. Kwanini kila kipindi Cha kupiga Kura huku Pemba wanakuja polisi wengi na vifaru vinatembezwa mitaani? Kwani Kuna tetesi zozote za kuvamiwa kipindi hichi?
Mbona uchaguzi bukiisha majeshi yanaondolewa?
 
Hii imenitesa sana, yaani jana ndo imetoka baada ya kusafisha kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…