kwenda21 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,423 Reaction score 3,414 Feb 16, 2023 #1 Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua? If we work for the living,why do we kill ourself working
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Feb 16, 2023 #2 Mwenyewe napenda kujua boss. Hivi ni kwanini lakini ipo hivyo.
FOX21 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 493 Reaction score 916 Feb 16, 2023 #3 Kazi ngumu tunazifanya sisi masikini tu!!, Believe me humu Tz wapo majamaa hawatoki jasho hata la kwapa na ndani ya kila dk5 wanavuna mamilioni ya maana.
Kazi ngumu tunazifanya sisi masikini tu!!, Believe me humu Tz wapo majamaa hawatoki jasho hata la kwapa na ndani ya kila dk5 wanavuna mamilioni ya maana.