Kwanini tunafundishwa namba za Kirumi shuleni? Je Zina faida gani maishani?

Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.

Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.

Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Hao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.

In Short
Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school – Albert Einstein
 
Ni ya kirumi hata ya kijinga Bado ni ya kirumi iliisha wekwa kwenye akili zetu na wakoloni kua Roma ndio makao makuu.
Hata warumi waliamua kuzitupa hiki kichwa kilipowaletea namba halisi zenye maana.

View: https://youtu.be/oRkNaF0QvnI?si=cLOhK5BymW6LU0YC
 
Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.

Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.

Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Haukufundishwa namba za kirumi ili zikupatie pesa, elimu ni kuongeza maarifa. Leo hii unaweza kusoma saa, unaweza kusoma pages nk
 
Hao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.

In Short
Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school – Albert Einstein
Huu msemo wa Einstein umekosea
 
Shuleni tunafundishwa xxx ni namba za kirumi,ila ukienda kuwatafuta unawakuta warumi wenyewe wanakuja bila nguo🚮
 
1. a) i)Angalia hapa nazitumia
ii) Sasa ulitaka nitumie nini kwenye hivi vipengele a)
b) PENZI LA MISUKOSUKO II walizitumia

2.
 
Back
Top Bottom