Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wewe ulisoma kwa lengo la kupata pesa?Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?