Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Comment kama hizii hazijawahi kukosaAhahaha 🤣
Zina umuhimu sana
Wewe washa VPN kisha nenda chrome andika hizo nambari za kirumi uone kama hazina tija
Hao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Umuhimu wake ni upi? Be specificHao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.
In Short
Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school – Albert Einstein
Ni ya kirumi hata ya kijinga Bado ni ya kirumi iliisha wekwa kwenye akili zetu na wakoloni kua Roma ndio makao makuu.Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Haukufundishwa namba za kirumi ili zikupatie pesa, elimu ni kuongeza maarifa. Leo hii unaweza kusoma saa, unaweza kusoma pages nkNikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Huu msemo wa Einstein umekoseaHao waliokutandika bakora, hawakufanya kazi yao vyema ndio maana umeuliza swali la kama hili.
In Short
Education is what remains after one has forgotten what one has learned in school – Albert Einstein
Hazina faidaHaukufundishwa namba za kirumi ili zikupatie pesa, elimu ni kuongeza maarifa. Leo hii unaweza kusoma saa, unaweza kusoma pages nk
Yes, inategemea wewe faida unaichukulia vipiHazina faida
DuhShuleni tunafundishwa xxx ni namba za kirumi,ila ukienda kuwatafuta unawakuta warumi wenyewe wanakuja bila nguo🚮