Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Feb 13, 2025 #21 Bujibuji Simba Nyamaume said: Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu? Click to expand... Wewe ulisoma kwa lengo la kupata pesa?
Bujibuji Simba Nyamaume said: Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu? Click to expand... Wewe ulisoma kwa lengo la kupata pesa?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Feb 13, 2025 #22 Bujibuji Simba Nyamaume said: Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu? Click to expand... Simply kwa kuwa tunazitumia. Ukiambiwa taja orodha za nishati mbalimbali, unatumia tu namba za Kirumi i. Sound ii. Light iii. Chemical iv. Electrical v. Mechanical vi. Heat
Bujibuji Simba Nyamaume said: Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu? Click to expand... Simply kwa kuwa tunazitumia. Ukiambiwa taja orodha za nishati mbalimbali, unatumia tu namba za Kirumi i. Sound ii. Light iii. Chemical iv. Electrical v. Mechanical vi. Heat
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Feb 14, 2025 #23 Wanatu "keep busy" ili waendeleee kutuibia
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 14, 2025 Thread starter #24 Mkweche II said: Wanatu "keep busy" ili waendeleee kutuibia Click to expand... Hili ndilo kubwa zaidi
Mkweche II said: Wanatu "keep busy" ili waendeleee kutuibia Click to expand... Hili ndilo kubwa zaidi