Ndoa ni mkataba. Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani?. Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
Kwa sababu ukienda mahakamani unachezea hatari ya kuswekwa Lupango. Mahakama kazi yake ni kusuluhisha migogoro. Sasa kwani hata hapa mwanzo tayari mshatifuana mpaka mahakama ihusike!???