Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

DOMINGO THOMAS

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
365
Reaction score
365
- Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada, stashahada, shahada na Shahada ya uzamili.

- Social Protection ( Hifazi ya Jamii ); kifupi ni course pekee Tanzania inayo toa Elimu ya mafao ( Pension ), Kutunga Sera Bora za Mifuko ya Jamii kama PSSSF, ZSSF, NSSF, na ZUPs ( Vikokotoo vyote vya mafoa vinafundishwa kwenye hii course) na imejikita kutoa elimu ya sera bora za-kuilinda jamii zidi ya majanga yanayo tokea kila siku, na yanaweza kutokea mfano vifo, ukosefu wa ajira, umasikini n.k.

- Wataalam wa Hii course Wanaitajika sana kwenye, kutunga sera bora za kuboresha maisha ya jamii, pia kwenye Social security schemes kama PSSSF, NSSF, ZSSF, ZUPs, WCF TASAF, pia kwenye INSURANCE COMPANIES, na NGOs + Taasisi zote za serikali na binafsi zinazo jiusisha na Jamii Mfano World vision, plan international, WHO, Twaweza n.k
-IPO HAJA KWENYE OFISI ZA SERIKALI NA KAMPUNI BINAFSI KUWA NA WATAALAMU WA HIFAZI YA JAMII ( SOCIAL PROTECTION DEPARTMENT)

- Ipo Haja Kwenye Ofisi za Serikali na Taasisi Binafsi kuwa na Wataalamu wa hifadhi ya Jamii ( Social Protection Department ) "Mfano kwenye Taasisi Binafsi zinazo chukuwa idadi kubwa za Wafanya kazi.. Wafanya kazi Wengi Wamekuwa wakilala-mika kucheleweshewa Mafao ya kama Fao la Uzazi, uwepo wa Wataalamu wa social protection itasolve hilo tatizo” Pia Serikali ianze kuajiri Wataalamu wa Uhifadhi wa Jamii kwenye Mifuko ya Jamii yote ili kuongeza ubora na ufanisi wa Huduma”

Thanks
I'm DOMINGO.
 
Back
Top Bottom