Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kwa mfano utasikia watanzania siku CCM ikiondoka madarakani, ndo ufisadi utaisha. Kwanini usiishe sasa?
Nikioa nitaacha kuwa na matumizi mabaya ya pesa kwa wanawake na starehe, kwanini usiache leo na tutafute mchumba mmoja?
Ndugu zangu mbona tunaishi kwa matarajio? Hivi wewe pamoja na physical body, na changamoto zako zote unaweza kizi suspend zirudi nyuma au ziende mbele.. Then "wewe" uliyepo sasa kubaki salama?
Kwanini sisi waafrika tumekuwa so programmed kudhani kuna salvation inakuja? Si unaona kwa mfano kwenye siasa. Collectively tunajipa matumaini eti CCM itaondoka madarakani?
Je kuanzia 2005 haikuwa hivyo?
Mimi sema kweli nadhani katika akili zetu bado hatuna uwezo wa kuwa rebellious kuweza kama collective kuhitaji changes katika taifa hili. Lazima hata kama ni vita ikitokea tutaishia ku surrender tu, maana the average Tanzanian hana uwezo wa kujitetea. Nikimaanisha hajui limits za uhuru wake.
Hakuna freedom of expression, katiba yenyewe hata akitokea mtu ndani ya ccm, afanye recommendation anaishia kufyekwa na fyekeo. Sasa, kama wanachama ndani ya chama wanavita vya ndani kwa ndani sisi wa nje ndo tutapata common ground?
Mimi naamini Tanzania bado ina illeterate and fearful citizens ambao wanaweza kuleta changes as a collective. Na hii sio Tanzania tu pekee, nchi zote za kiafrika bado ziko under dominion ya donors na mataifa makubwa.
Tumeshuhudia kipindi cha kina Jpm jinsi viongozi wa mataifa ya Africa walojaribu kubadili mifumo walivyo malizwa.
We have to be willing to pay the price kwanza, mapambano aendelee ila ukweli tu usemwe sisi bado sana tena Tz ndo iko chini sana kabisa hata kwenye spectrum ya independence.
Life is now, tuachane na hopes, let's start individually to see and feel and think and act independent. Leo, asilimia kubwa ya watz ni wa binafsi... Mtu anakwambia kila mtu atakula kwa urefu wa kamba, ushilawadu na kuongeleana shit, simba na yanga mpaka kwenye siasa, uislamu na ukristo... Je unadhani kuna muungano hapa!? We need not lie to ourselves.
Nimemaliza.