Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi no lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi?
Hii nchi ni kujipambania mwenyewe tu..! Ukipata 'Gap' hakikisha unajiweka vizuri.

Hakuna mtu wa kukupambania eneo lako la kazi, ukiona unapambaniwa ama kitengo chako kinapambaniwa ujue hio ni 'FURSA'
 
Waalimu una waacha wapi yaani, Wamegeuzwa machawa wa Fisiemu.
 
Madaktari Wana umoja wao wa kitaaluma (Medical Council of Tanganyika) ila ni kama hawapo. Viroja viroja
 
Back
Top Bottom