Hii nchi ni kujipambania mwenyewe tu..! Ukipata 'Gap' hakikisha unajiweka vizuri.Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi no lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi?
Wanawaza kuwakamua madaktari kupitia Ada mbalimbaliMadaktari Wana umoj wao wa kitaaluma (Medical Council of Tanganyika) ila ni kama hawapo. Viroja viroja