Kwanini tunakimbilia India kwa Tiba?

Kwanini tunakimbilia India kwa Tiba?

Nilkuwa India karibuni kwa matibabu, self paid!!!
Afya ya mtu si mahali pa pata potea if you are serious with your health.Kama una fanya kazi basi unafanya hivyo kwa vile you are healthy.
Sekta ya afya nchini imezorota sana na si siri katika miaka 20 iliyopita.
Madaktari wanaingia mgomo, wahudumu vilevile.
Nenda Mwanyanyamala at your own risk!!
Katika siku ya leo ambapo unaweza katwa kichwa badala ya operation ya mguu is a serious problem.Tena very serious kwa Hospitali kuu nchini, MNH, Muhimbili Medical Centre.
Mgonjwa wa akili anaua wagonjwa wenziwe wodini!
Madaktari na matibabu karibu wote hawalipwi vizuri na wana miradi yao ya pembeni, concentration kazini hakuna.Daktari atafanya operation akifikiria ukata uliopo nyumbani.
Katika scenario hii mkuu MKJJ ukijipeleka Muhimbili ukiwa na kauwezo ka kujilipia , then you are not serious with your health.
Najua vizuri kuwa kupelekwa katika hospitali zetu kwa wakati mwingine ni jambo ambalo haliepukiki lakini nawahurumia sana wazalendo wenzangu.

I real support you and their is no better way I can explain.Kwenye ujamaa tulikuwa nafuu zaidi kuhusa sasa, mara nyingi nawaambia watu hilo na wanabishi lakini ukweli ni ukweli hata ukibisha.
 
that is exactly my point.. kwanza tuwakatalie hiyo "haki" waliyojipa halafu tuone watafanya nini wakiumwa.. haiwezekani hospitali ziwe mahali pa kupumzikia tu halafu hao wanatimkia SA, India, au kwingine huko.

Halafu katika wazimu wa fikra zao wanakaa na kutuambia wana mpango wa kujenga barabara za kwenda mbinguni!

Hawa wa Sh$%#zi wametushika pabaya sana,Uamuzi wa caliber hiyo unatolewa na wao!guess what!they will never make such a decision.

kwa hiyo mzee unaposema tuwakatalie tuwakatalie vipi?tulale pale njiapanda ya kipawa kuwazuia wasipande ndege?

mwananchi wa Tanzania ya leo yuko Screwed big time,NOBODY i mean NOBODY is willing to do nothing to help them,NOT our doctors,not our proffesionals,not our leaders,kila mtu ni mwizi tu,dirty gold diggers who only thinks of their egos and what they get out of every situation.

Kwa nchi kama Tanzania,kuwa na Hospitali ya Maana it would have taken just 3-5 years.

Kama wameweza kujenga UDOM,Uwanja wa Taifa(this was really a shity decision).,wanaweza kujenga hospitali za maana si chini ya 5 na kuzi-equip.

sasa hvi wanajenga uwanja wa ndege wa "kimataifa"..,this tells where our priorities are..,so far from average joes!
 
Back
Top Bottom