zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Ata kwenye muvi ya sarafina Kuna mwamba wa South anashtua,na Ni muvi ya kitambo sanaHivi ile style hakuitoa kwa Fresh prince of Bel air kweli[emoji23][emoji23][emoji23]mana ile TV show ilikua ya 90s na Will smith kashtua kijoti sana mule,,,Joti alianza lini yeye,ila jamaa anajua namkubali sana!