Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Balimi maana yake ni wakulima, nadhani hilo neno lina asili ya Kagera.Kilimo kwanza cha ajabu unaambiwa hizo bia ni za wakulima...KISUKUMA maana ya BALIMI ni MSUKUMA
Kuna sehemu maanake ulimi[emoji23][emoji23]Huoni hata jina lake ni baya? "Balimi"
Kuna sehemu maanake ulimi[emoji23][emoji23]
Hahahaha sijawahi inywa, rafiki angu mmoja alikunywaga kitambo flani... Siku nzima analalamika kichwa kinamuuma... Since then naziogopa[emoji28][emoji28][emoji28]Ila tamu.
[emoji23] [emoji23]USIOGOPE KULEWA OGOPA
UTAKACHOFANYWA UKISHALEWA........!!