Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5.6Hiv ina alc ngapi hyo balimi??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dahhamlewi mapema, mnakuwa mara nyingi mmetokea kwenye gongo [emoji3]
Japo mimi situmii kilevi chochote ila niliwahi kusikia kuwa hiyo bia ina harufu sana mdomobi kama ukiinywa na husababisha hata mdomo kunuka kesho yakeeti kwa nini tunaokunywa balimi tunadharaurika sana tena utakuta baa nyingine ata izo balimi awauzi
wakati balimi ni bia kama bia nyingine alafu zina kiwango kizuri