05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,650 Apr 21, 2025 #1 Wana JF habari zenu nyote? Nahitaji kuelewa na ama kufahamu tu ikiwa swala la ndoto lina maana yoyote katika ulimwengu wa KISAYANSI tofauti na ulimwengu wa kiroho. Kwanini tunaota ndoto? Na je zina maana yoyote?
Wana JF habari zenu nyote? Nahitaji kuelewa na ama kufahamu tu ikiwa swala la ndoto lina maana yoyote katika ulimwengu wa KISAYANSI tofauti na ulimwengu wa kiroho. Kwanini tunaota ndoto? Na je zina maana yoyote?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 21, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw