Zipo aina nyingi..Hko kiatu hata wewe utakuwa umekiona sehemu/kwa mtu ukakipenda ukakinunua,vivyo hivyo mwanakijiji/mfanyakazi mwenzako kakiona kupitia kwako..Kama akikipenda akaamua kununua shida iko wapi mzee?.Kuna aina ngapi za viatu duniani? Huwezi kuwa na kiatu unique kijijini kwako au kazini?
Mkuu tutafute Lada, au tununue Kamaz za kubebea mizigo. Как ты братан?Hivyo vitu unique unavitoa wapi bro..Unless uwe mbunifu mwenyewe
Sio lazima nione kwa mtu. Naweza kuingis dukani nikakiona nikakipenda.Zipo aina nyingi..Hko kiatu hata wewe utakuwa umekiona sehemu/kwa mtu ukakipenda ukakinunua,vivyo hivyo mwanakijiji/mfanyakazi mwenzako kakiona kupitia kwako..Kama akikipenda akaamua kununua shida iko wapi mzee?.
Mnaweza kutumia material sawa na nyumba zisifanane. Usawa ninaouzungumzia ni ule mtu anachukua ramani yako anaenda kujenga vile vile kama wewe.Ukitaka uniqueness kwenye ndinga
uende Europe huko, ni wachache wanazungusha European brands town. Ukitaka kujenga nyumba unique lazima mfuko usome vizuri, la sivyo tutabanana kununua gypsum na tiles first grade za kichina tu.
Uniqueness goes with cash mkuu.
DasilamuWatu wa wapi hao wanaopenda kuigana ivyo?
Huenda mkuu, ila hata ramani na wachoraji wetu huwa hawachani sana kwenye designs zao. Ili upate ramani nzuri walau 1m ikutoke, sasa kama hata 300k ni nyingi lazima tutakopiana tu.Mnaweza kutumia material sawa na nyumba zisifanane. Usawa ninaouzungumzia ni ule mtu anachukua ramani yako anaenda kujenga vile vile kama wewe.
Mkuu, hizo ni profession za watu ujuwe.Unaweza kuchora wewe mwenyewe.
Simple houses sio issue. Ikija kwenye magorofa unawaachia wenyewe. Pia hata hizo anakuchorea kwa vision yako yeye ana guide kitaalamu. Sio zile anachora anachopenda yeye halafu anawauzieni watu 100!Mkuu, hizo ni profession za watu ujuwe.
Who felt bad? Im surprised we cant understand hata Kiswahili?Personally, singeona kama tatizo.
I would think am an inspiration to someone who wants to be like me. They like my sense of style, my class, and my taste and that's why they are copying it.
Come to think of it we are all culprits. We are also looking at people doing better than as as our models in terms of roles they play or things they possess.
Why should we feel bad when others copy us?
You implied that you weren't pleased by people who tried to emulate your taste.Who felt bad? Im surprised we cant understand hata Kiswahili?
Heading : Kwanini tunaigana?
Ending: Tatizo ni ushamba? Hatuna taste etc? Still questioning. I waa expecting good explaination as to why is that so(u tried) but ending by saying why feeling bad.
Why people conclude otherwise?
Wasukuma wametuambukiza hii tabia tofauti ni kwamba wao huenda dukani na kusema "Nataka shati kama la PRONDO" . Anajisahau kuwa PRONDO wanamjua mtaani kwao tu
Usinikumbushe yale mashati yenu ya "mapazia" na mabugando