Kwanini tunapenda kuigana?

Kwanini tunapenda kuigana?

kuiga maendeleo sio vibaya jamaniii msiwe wabinafsi
kama hutaki kanunue visivyopatikana tz
 
Nunua brand ambazo bongo hakuna ndio dawa yao,kwenye electronics tumia bose,bang & olufssen,harman kardon,grundig,telefunken,sharp,etc,nguo mtumbani ama order online,magari bmw,infiniti,renault etc european na american zaidi.ingawaje gharama ya utafauti ni kubwa kidogo.
 
Wasukuma wametuambukiza hii tabia tofauti ni kwamba wao huenda dukani na kusema "Nataka shati kama la PRONDO" . Anajisahau kuwa PRONDO wanamjua mtaani kwao tu
 
Back
Top Bottom