Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli mimi mwenyewe ni mpenz wa mashati ya mtumba kuepusha ukunguru barabarani.Kwenye nguo ndio kichekesho, watu wanavaa mitumba kukwepa sare sare maua
Kwenye nguo ndio kichekesho, watu wanavaa mitumba kukwepa sare sare maua
Tanzania hii mkuu.Watu wa wapi hao wanaopenda kuigana ivyo?
Ooohh! KumbeTanzania hii mkuu.
Mi siongelei Kariakoo kwa mchina, TINGA hapo woolworths mitaa ya mjini kati uibuke na kitu uone kama kuna mtu atatia PUA kukuigaKuna mitumba ghali kuliko mchina kariakoo
Hivyo vitu unique unavitoa wapi bro..Unless uwe mbunifu mwenyeweMimi kwangu kuwa unique ndio kitu kizuri.
Mimi mmoja wapo,pia kuorder online.Kwenye nguo ndio kichekesho, watu wanavaa mitumba kukwepa sare sare maua