Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

Kutoka nyumbani hadi kuifata ATM kuna nauli ,Let's say 800 na kutoa pesa kwenye ATM ni 1800 hadi 2000 kwa 350,000(i&M) hadi 400,000(CRDB,Stanbic etc) ,Kutoka Nyumbani hadi ATM kuna kupoteza muda wa karibu saa nzima kwenda na kurudi ,pia risk ya kupanda gari ni shida pia...Yaani hapo cost ni 2600 hadi 2800 ,sasa gharama ya kutoa lakini nne kwa tigo pesa/airtel money/m-pesa ni elfu 7.

Kwahiyo hapo unaokoa Tsh 4000 nzima.
 
Pia, mawakala wa Banks km CRDB/ NMB wapo kila kona. Pia siku hizi kwenye sheli nyingi kuna ATMs zenye VISA.
 
Kwasababu ni haraka sana na unatuma hata 3000 bila aibu ya kwenda kupanga mstari bank
Nafaka please rudisha avatar picha yako ya yule nigger ana sura ngumu na upara unaong'aa. Plz yani nilitaka kukupita hivihivi
 
Ni ujinga tu ndio umetamalaki
 

Mkuu viraisi vina ghalimu,mimi niende bank kutuma pesa au niende ATM kupanga foleni wakati njia raisi ipo mkuu.
 
Hapa nilipo kuna atm moja tu ambayo nikitembea natumia kama dakika nane ila mawakala naweza kuwafikia ndani ya dakika 2 tu, benki inabidi nitembee kama dakika 20. kwanini nisiwatumie mawakala aisee.

Kuna muda nahitaji kutoa tu buku jero, huko kwenye atm naskia hela ya chini ni buku 5 kama sijakosea, kwanini nisiwatumie mawakala.

Kufungua account ya benki hatua nyingi na gharama ni kubwa, huku usajili ni bure kabisa.

ni rahisi na nafuu kununua muda wa maongezi kuoitia mpesa, tigo pesa, n.k mfano kwa halotel kuna punguzo ukinunua kifurushi kwa halo pesa
 
Hakuna yenye nafuu wote wezi tu


W
A
N
A vuna
W asichopanda. Kwa hio
Ha
Ku
Na mwizi mdogo wala mkubwa
 
Katika Contacts list yako wote wanazo accounts ?
 
Mi sipendi kabisa kutuma pesa kwa simu
.... sababu hauzingatii muda!!!!!, sisi wengine accounts zetu zimefungwa sababu hatuna muda wa kwenda bank.. mambo yote chap chap kwenye simu... @ wajasiriamali wa ukweli.
 
kwanza mimi nawalaumu watu wa mabenki.
Tariffs zao wamezificha mno. Nawashauri wangekuwa wanaweka na gharama waprint za kutuma na kutoa hela angalau wabandike katika Atm zao. Hii itapelekea urahisi mtu akifika pale anajua kumbe haina haja ya kutoa pesa kisha anaenda kwa wakala wa mitandao ya simu kutuma. Hii ni specific kwa wanaotumia Atm. Unakuta unataka kumtumia mtu shiling 10,000 sasa hujui makato ya kuamisha kwenda another bank account wala kwenda mitabdao ya simu.

so unakuta mtu anakua ana mashaka kwamba bora nitoe hii 10000 kisha nikaweke kweny sim yangu kisha nimrushie lakin ingekua wanaweka Tariffs zao wala isingekua shida unaingiza tu Atm unahamishia sehem huku ukijua viwango vya makato wanakwama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elimu hii ndio mim naitaka.mkuu em nijulishe ni benk gan hio kutuma wanakata. hivyo.mana mabenk meng wameficha kweli makato yao.yan unakua una guess tu sijui hapa wanakata kias gan kutoa,kuweka,kuhamisha.
ushauri.watuwekee viwango vyao vyote makato,kuweka kutoa.sio kuyatafutaaa weee kwa toch yawe hadharan tu kwenye user interface rahisi tu like ukifika Atm unakuta kabisa wamebandika unajua unajihukum vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda niseme confidence coz mtu anaona kupeleke ela ndogo benki ni aibuu au niya watu flani v.i.p akatii ni y wananchi wote pesa yko ndo inamueka yule mfanyakazi af watu wana angalia urahisi uko kwenye mitandao kama mpesa tigo pesa n.k kwaiyo wanakua wana puuzia benki ilingalii ndio kwenye nafuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…