Nenda bank hizi zina gharama nafuu sanaelimu hii ndio mim naitaka.mkuu em nijulishe ni benk gan hio kutuma wanakata. hivyo.mana mabenk meng wameficha kweli makato yao.yan unakua una guess tu sijui hapa wanakata kias gan kutoa,kuweka,kuhamisha.
ushauri.watuwekee viwango vyao vyote makato,kuweka kutoa.sio kuyatafutaaa weee kwa toch yawe hadharan tu kwenye user interface rahisi tu like ukifika Atm unakuta kabisa wamebandika unajua unajihukum vip
Sent using Jamii Forums mobile app

Hii sio hypothesis, imeshakuwa proven kwa tafiti zilizofanywa na wengine wanaotafiti kuhusu poor economics.
Iko hivi ni rahisi kujua kuwa gharama za kutuma na kutoa fedha kwa kutumia simu, iwe M-pesa, Tigo pesa nk ni gharama zaidi kuliko kutumia benki i.e ATM ambazo zimetapakaa nchini.
Kwa maeneo kama Dar, ATM zimetapakaa maeneo mbalimbali na zaidi benki nyingi zinatumia mitandao mikubwa kama VISA, MASTARCARD, MAESTRO nk ambayo haikupi ulazima wa wewe kutafuta benki yako ili kutoa fehda.
Mbali na hayo bado watu wamekuwa wakitumia zaidi mitandao ya simu ambayo ina gharama kubwa za huduma zao kuliko benki, Je shida iko wapi.
Wewe kama mdau unayetumia simu kufanya miamala, Je unadhani ni kipi kinakufanya ukae humo ukizingatia gharama ni kubwa?
Nadhani watu wa benki wanaotengeneza mifumo ya masoko wanaweza kuwa na njia nzuri ya kuweza kujua namna gani ya kuwanasa watu ambao wanatumia simu badala ya benki ambazo zina gharama nafuu.
Hypothesis: Watu hawatumii benki kwa kuwa benki zinaonekana kama ni za watu fulani wenye hadhi na fedha nyingi (It can be tested)
Au ni kuwa watu huwa hawana muda wa kujua kuhusu gharama za masuala ya kifedha.
Signed
Oedipus
Sasa natoa zinatoka wapi, nani aliniwekea hapo ndani?!Kiongozi, Chukulia mazingira ya Dar, Jinsi ambavyo ATM ziko maeneo mengi tofauti tofauti, plus unaweza kutoa hela kwa mawakala wa huduma za kifedha kama fahari Huduma na Nmb wakala
Mobile money nafungua bure..... Hivi hata kujiongeza hapo ni tatizo?!Benk nyingi unafungua account kwa Tsh 20,000 kwa hiyo kama uko chini ya laki mbili pia unaweza kufuwa na account na ukatoa muda unataka
Je na hili nalo ni shida au ni some complexities tu?
Ni 3500 bro, kama umetumwa hebu kuwa muwazi.....Hili la kusema watu wengi hudhani kuwa benki ni kwa ajili ya watu fulani ni sahihi kabisa. Ndio maana watu wengi hawana account za bank. Lakini watu hao wengi wasio na bank accounts wana miliki simu na wanapokea na kutuma fedha kupitia accounts za simu.
Iko hivi, watu wengi hawana taarifa sahihi juu ya matumizi ya accounts za bank. Kuna rafiki zangu siku moja walikua wanang'ang'ania kuwa wataendelea kutumia CRDB kwa sababu ipo kila mahali...mimi nikawaambia sitaitumia sababu muda mwingi naishi Dar es Salaam. Je, ukienda mkoani? Nikawajibu, ni mara ngapi kwa mwaka naenda mikoani? Na nikienda hata robo mwaka haifiki narudi hapa hapa. Zaidi ntakaa week 2 tena za likizo. Kuna bank kuhamisha pesa toka bank kupeleka Tigo/voda ni bure ila kila mwisho wa mwezi unakatwa sh 250/- hata kama wamepandisha siku hizi, basi tuseme 500/- bado ni nafuu sana.
Lakini kwa nini utumie simu? Wakati kuna visa?
Kuna bank kutoa kwa visa unakatwa sh 3,000 bila kujali kiasi unachotoa. Wakati tigo kutoa laki 2 ni elfu 5. Kuna kipindi mzee alikua anaumwa kalazwa hospitali, na mimi ndio nilikua caretaker. Kuna gharama kule hospitali haziko kwenye bima, sasa ndugu na jamaa wakawa wanataka wanitumie pesa kwa simu, haki nakwambia niliwapa account yangu ya bank. Mtu akihoji niende kwa bank muda huu sijui bla bla namwambia nenda kwa wakala niwekee juat like unavyoenda kuweka tigopesa.
Ilisave sana gharama za kutolea pesa. Maana nikienda ATM navuta laki 2 mpaka 4 kwa buku wakati tigopesa ningetakiwa niwaachie elfu 10 hapo.
Cha msingi ni taarifa.
MIMI NINA SWALI MOJA.Ukitumia akili ya kisomi utagundua mobile money banking is more convenient than banking directly......
Unajua bank hawapo transparent na shughuli zao.... Hadi uwaulize na unapowauliza utaona wahudumu wanakukodolea yale macho ya unauliza ili iweje sasa, au yale macho ya "heeeeeh brother man wa maana halafu unaulizia kukatwa mia tano looooh" sasa zile noma na kero zingine huwa zinanifanya nijiulize kwan kuna ulazima gani wa kugombana na watu na wakala yupo nje tu hapo.
Mkuu hili andiko lako ni kama hearsay. Ningetamani utoe ulinganifu wa viwango vya kutuma na kutoa fedha kupitia benki na simu ili watu wafanye ulinganifu kuliko hivi ulivyoandika kimipasho.Hii sio hypothesis, imeshakuwa proven kwa tafiti zilizofanywa na wengine wanaotafiti kuhusu poor economics.
Iko hivi ni rahisi kujua kuwa gharama za kutuma na kutoa fedha kwa kutumia simu, iwe M-pesa, Tigo pesa nk ni gharama zaidi kuliko kutumia benki i.e ATM ambazo zimetapakaa nchini.
Kwa maeneo kama Dar, ATM zimetapakaa maeneo mbalimbali na zaidi benki nyingi zinatumia mitandao mikubwa kama VISA, MASTARCARD, MAESTRO nk ambayo haikupi ulazima wa wewe kutafuta benki yako ili kutoa fehda.
Mbali na hayo bado watu wamekuwa wakitumia zaidi mitandao ya simu ambayo ina gharama kubwa za huduma zao kuliko benki, Je shida iko wapi.
Wewe kama mdau unayetumia simu kufanya miamala, Je unadhani ni kipi kinakufanya ukae humo ukizingatia gharama ni kubwa?
Nadhani watu wa benki wanaotengeneza mifumo ya masoko wanaweza kuwa na njia nzuri ya kuweza kujua namna gani ya kuwanasa watu ambao wanatumia simu badala ya benki ambazo zina gharama nafuu.
Hypothesis: Watu hawatumii benki kwa kuwa benki zinaonekana kama ni za watu fulani wenye hadhi na fedha nyingi (It can be tested)
Au ni kuwa watu huwa hawana muda wa kujua kuhusu gharama za masuala ya kifedha.
Signed
Oedipus
Nikuulize kwa nn utoe kwa ATM?
Wakati ndani bank teller anakusubiri?
Pole chifuMkuu siku hiyo boom langu lishatoka napanga foleni kwa teller watu kibao nikasema hapa natoa hadi mia ya mwisho. Sasa upumbavu wa teller nafika foleni yangu eti anauliza kwanini usitolee ATM gharama nafuu kuliko hapa. Ikabidi nikatoe ATM ela iliyobaki nikainunulia vocha. . Mana ku benk fulani ukiacha pesa ukija kesho no salio.
Kimsingi bank za bongo no convenience ya wateja wao wanakera sana foleni lote harafu hakuniudumia.
Na nauli unayotumia kufika benki usisahau....Mkuu,
Tatizo wewe unaangalia gharama za miamala tu!
"Time" na "uconviniency" wa mobile services ndio kila kitu.
Yaani kama kutuma kutumia benk nakatwa 2000 na kutuma kupitia simu nakatwa 3500 consider sasa time ya kwenda benk, usumbufu, pia ile availability ya service ni changamoto
na je wana malipo ya online paymentsAliyesema kufungua akaunti bank ni 20,000 namwambia hivi kesho kutwa aende NMB au CRDB akawaambie Hu kasema kufungua akaunti ni bure, hakuna cha barua ya serikali ya mtaa wala nini! ni NIDA tu.
Mimi binafsi nilifungua akaunti hizo bure kabisa ila huwa napokelea mshahara kisha nakwangua wote nahamishia BANCABC.
Huko hakuna makato yoyote, ukiweka 10000 utaikuta 10000 yako mwezi ujao. Sio hizo njemba hapo juu uki-request statement hadi unajiuliza haya makato nimekatwa mimi kama nani?! kwa BANCABC kutoa hadi milioni makato hayazidi 2000 ukitolea kwenye ATM zao, ukitumia VISA makato ni 3000.
Huko EQUITY BANK nasikia nako kumenoga, hawana makato ya mwezi na pia hata kuangalia salio ni bure kabisa.
BANCABC wana kadi maalum za kulipia online ni TZS 10000 tu. Unanunua inaanza kufanya kazi hapohapo. Mimi nina hiyo kadi kwa ajili ya shughuli zangu za kubeti.
Nimependa umefikiria out side the box.Umetumwa kuja kupeleka taarifa ili watuongezee makato na kodi...
Au ikoje hii?? Samahani mkuu!
Maana tukijilipua humu kukujibu kesho, inakuja sera wenye account benki marufuku kutumia mobile banking.
Hii nchi inatutia hasira na machungu kila uchwao.
Everyday is Saturday............................. [emoji41]