Kijana sio lazima sisi tufanye kama wanavyofanya....uchumi wa Afrika mashariki umesimama kwe mitandao ya simu..na ndo dunia inapohamia...refer to QR code payment,google money what's app money ipay...mabank mengi yapo rigid na mabadiliko na ndo tatizo linaanzia hapoKiongozi, weka Time, kwa ulimwengu wa sasa kuna ATMs ambazo unaweza kutoa fedha, pia hata kwenye simu kuna wakati unaweza kusimama tu kusubria muamala urudishe meseji ya kuthibitisha
Convinience ni ipi ambayo haipo kwenye huduma za kibenk
Kwa kweli, mwezi huu nimefanya Uamuzi rasmi kuachana kabisa na miamala ya Sim Banking...mafedhuli wakubwaHii sio hypothesis, imeshakuwa proven kwa tafiti zilizofanywa na wengine wanaotafiti kuhusu poor economics.
Iko hivi ni rahisi kujua kuwa gharama za kutuma na kutoa fedha kwa kutumia simu, iwe M-pesa, Tigo pesa nk ni gharama zaidi kuliko kutumia benki i.e ATM ambazo zimetapakaa nchini.
Kwa maeneo kama Dar, ATM zimetapakaa maeneo mbalimbali na zaidi benki nyingi zinatumia mitandao mikubwa kama VISA, MASTARCARD, MAESTRO nk ambayo haikupi ulazima wa wewe kutafuta benki yako ili kutoa fehda.
Mbali na hayo bado watu wamekuwa wakitumia zaidi mitandao ya simu ambayo ina gharama kubwa za huduma zao kuliko benki, Je shida iko wapi.
Wewe kama mdau unayetumia simu kufanya miamala, Je unadhani ni kipi kinakufanya ukae humo ukizingatia gharama ni kubwa?
Nadhani watu wa benki wanaotengeneza mifumo ya masoko wanaweza kuwa na njia nzuri ya kuweza kujua namna gani ya kuwanasa watu ambao wanatumia simu badala ya benki ambazo zina gharama nafuu.
Hypothesis: Watu hawatumii benki kwa kuwa benki zinaonekana kama ni za watu fulani wenye hadhi na fedha nyingi (It can be tested)
Au ni kuwa watu huwa hawana muda wa kujua kuhusu gharama za masuala ya kifedha.
Signed
Oedipus
Kwani mkuu,unatembea na Simu au Bank?Kwa maeneo kama Dar, ATM zimetapakaa maeneo mbalimbali
Mbona akili yako Iko confined in one area kiongozi.Kiongozi, Chukulia mazingira ya Dar, Jinsi ambavyo ATM ziko maeneo mengi tofauti tofauti, plus unaweza kutoa hela kwa mawakala wa huduma za kifedha kama fahari Huduma na Nmb wakala
na ukilipia unapewa namba au kadi? na sis huku bicha mbona abc haipo nafanyaje? nmb wanayo hio online?BANCABC wana kadi maalum za kulipia online ni TZS 10000 tu. Unanunua inaanza kufanya kazi hapohapo. Mimi nina hiyo kadi kwa ajili ya shughuli zangu za kubeti.
NMB wanazo mastercard prepaid na credit cardsna ukilipia unapewa namba au kadi? na sis huku bicha mbona abc haipo nafanyaje? nmb wanayo hio online?
Sent using Jamii Forums mobile app
na ukilipia unapewa namba au kadi? na sis huku bicha mbona abc haipo nafanyaje? nmb wanayo hio online?
Sent using Jamii Forums mobile app
NMB wanayo pia wamezindua mwezi wa 9 na ni mastercard. BANCABC ni VISA na ni kadi kabisa unapewa, sio namba pekee. Uzuri wa hizi card hazina makato ya mwezi.na ukilipia unapewa namba au kadi? na sis huku bicha mbona abc haipo nafanyaje? nmb wanayo hio online?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine siyo suala la kupenda ni conveniency... Say nipo shambani, some 60km from town. Nina Cash yangu niliyokuja nayo from town but nahitaji kuongezea vi laki 2 ili kazi za shamba ziendelee sasa badala ya kuvuta hiyo cash kwa CRDB au NMB app iingie kwenye simu yangu au anayenidai huko shamba, nifunge safari tena 60km kufuata Bank services??Mi sipendi kabisa kutuma pesa kwa simu
Kabisa, mfano mtu anayeishi Kihonda, Morogoro, akitaka ATM lazima apande daladala aende Msamvu, na ukikuta bahati mbaya haina pesa, na banks pale Bus terminal zimefungwa, basi lazima upande tena Bus mpaka town, tayari umetumia 1200 na zaidi ya 3 hrs huku lengo lako lilikuwa ni kumrushia mtu elfu 20 au 30.Sio wote tunaishi Dar es Salaam
Mfano mzuri ATM [emoji763] ya pale Msamvu sheli, aisee yaani to every 10 trips hesabu trip 4 aidha mashine mbovu au haina pesa...Yaani mara mtandao uko chini,
Mara hakuna salio,
Mara kadi imemezwa shida zote hizi za nn??
Mara foleni ukifika teller kafunga dirisha anaenda lunch...
Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Jumlisha nauli ya boda boda au bajaj au teksi kwenda atm [emoji763] na kurudi na masaa utakayokuwa umefunga biashara yako ili uende huko ATM...Niwe mkweli tu kwa sasa nimeacha kabisa kutuma pesa kutoka bank kwenda mpesa na kutoka mpesa kwenda bank hebu fikiria kutuma 1million kutoka bank kwenda mpesa ni 12k. na hapo mpesa hujaitoa. Wakati kutoa cash kwenye atm 400k max ni 1200 +vat jumla 1800, for 1m ni sh 5.2k,
Zina matawi Morogoro?Nenda bank hizi zina gharama nafuu sana
1. DTB
2. Equity Bank
Ni kama hizi za CRDB walizotoa recently?NMB wanayo pia wamezindua mwezi wa 9 na ni mastercard. BANCABC ni VISA na ni kadi kabisa unapewa, sio namba pekee. Uzuri wa hizi card hazina makato ya mwezi.
Mfano pale Turiani, Madizini, CRDB wana only mobile van yenye ATM, ambayo ikifika saa 12 wanafunga na gari linaondoka. Kwa hiyo maisha si hapo Dar tuu.Kumbe wewe unaongelea maisha ya watu wa dar,sisi wa vijijini tunatumia masaa 2 kuifikia benki,sasa hayo masaa 2 nauli kiasi gani?fikiria kabla ya kuposti ,Tanzania ni kubwa mzee,siyo kwamba sisi tunapebda tukatwe pesa nyingi ni matatizo tj
Za CRDB sijaziona bado. Mi ninazo za BANCABC na EXIM bank kwa ajili ya kulipia mtandaoni, lakini pia nimegeuza kama akaunti ya bank kwa sababu hazina makato ya mwezi.Ni kama hizi za CRDB walizotoa recently?
Unajiunga na simbankBenki ziko mbali, ukitoka tu hapo nje unakutana na watoa huduma wa pesa kwa simu.