Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Mbn Kawaida mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu haziendi likizo,huwa tunazisafirisha siku moja ama mbili kabla ya safari....yaani kama safari ni jumamosi,inabidi aibu zisafiri alhamisi ama ijumaa
Baada ya hapo tukisafiri jumamosi tunakutana nazo tukifika tunakoenda
Jamani [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Wewe huwa unachimbia Mdomoni mwako au?
Mimi sijajua kwa njia nyingine. Ila ya dar moro zipo sehemu special kwa kuchimba dawa. Kuna vyoo vya wanawake na wanaume na wanakua wanauza na vyakula. Yani issue ya vichakani nimeshangaa kua bado ipoHii ni fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwenye high way. Kujenga Break points ziwe na petrol pumps, vyoo vya wanawake na wanaume, migahawa parking spaces ikiwezekana na bed and breakfast.
Uwekezaji huu utazalisha ajira nyingi sana
Na mm google helper as always niko kukusaidia kuona vizuriNdio mkuu nipate kuGoogle vizuri[emoji1992]
Mimi sijajua kwa njia nyingine. Ila ya dar moro zipo sehemu special kwa kuchimba dawa. Kuna vyoo vya wanawake na wanaume na wanakua wanauza na vyakula. Yani issue ya vichakani nimeshangaa kua bado ipo
Ahaaa asante kwa kunijuzaRuti ndefu bado IPO na madere aka suka hawapendi kupita break points kwa sababu abiria wanajivutavuta, pori ni rahisi kuwapeleka mchakamchaka
I love you too 💖Una Akili sana ( very Intelligent ) na najua unajua kabisa kuwa nakupenda japo naweza kuwa leo nimevaa Kanzu nyingine ( tofauti ) ila Mimi ni Shekhe ni yule yule tu uliyemzoea, lakini unaniudhi tu kwakua upo CHADEMA badala ya kuja huku Kwetu CCM. Bado sijachoka Kukushawishi na najua utahamia tu CCM muda si mrefu.
ni kawaida mahali ambapo hakuna option ya ni lazima uuvuae uso usio kuwa na aibu..ni sawa sawa wanoenda kwa wagagnga wanaambiwa waoge pamoja na ni watu wamekuatana hapo hapo ,Je, ni Saikolojia gani ambayo huwa ipo tu kwa Sisi Wanadamu ( Abiria ) hasa pale tuwapo Safari za Masafa marefu ambapo unaweza kukuta Abiria wa Kike tena ni Mrembo kabisa ( Sista Duu ) lakini wakati wa kujisaidia Haja Ndogo Vichakani ( Kuchimba Dawa ) huwa wanakuwa hawana Aibu ambapo huchojoa Nguo zake na Kuinama Kukojoa zake huku akikukodolea Wewe Mwanaume na kuna wakati anaweza hata Kukuambia Mwambie Dereva asiondoe Gari Kwanza namalizia Kukojoa.
Muwapo katika Mabasi haya ya Mikoani Aibu zetu huwa zinaenda Likizo ya wapi?
Umeamua kuturingishia bombadia jirani?Kwani bado watu wanachimba dawa vichakani
We ndio huwa unapiga chabo Dada zetu sioHuwa nachagua siti za kushoto dirishani na huwaga sishuki kuchimba dawa.
Na ndio maana hata tunapotaka kuchepuka huwa tunatafuta Guest House za mbali na maeneo yetu ambako tuna uhakika wahudumu wa huko hawatufahamu1. Ni kwa sababu wote hatujuani
3. Aibu huja kwa mtu unaye fahamiana naye..
Mhhh huu utafiti wako kiboko asee kwamba waoge pamoja hii haijalishi jinsia yako au??ni kawaida mahali ambapo hakuna option ya ni lazima uuvuae uso usio kuwa na aibu..ni sawa sawa wanoenda kwa wagagnga wanaambiwa waoge pamoja na ni watu wamekuatana hapo hapo ,