Kwanini tunapokuwa Safarini hasa kwenda Mikoani Abiria wa Kiume na wa Kike huwa hatuoneani Aibu tunapojisaidia Vichakani?

Haaahaaaa mna maneno
Aibu haziendi likizo,huwa tunazisafirisha siku moja ama mbili kabla ya safari....yaani kama safari ni jumamosi,inabidi aibu zisafiri alhamisi ama ijumaa

Baada ya hapo tukisafiri jumamosi tunakutana nazo tukifika tunakoenda
 
Hii ni fursa kwa wawekezaji kuwekeza kwenye high way. Kujenga Break points ziwe na petrol pumps, vyoo vya wanawake na wanaume, migahawa parking spaces ikiwezekana na bed and breakfast.

Uwekezaji huu utazalisha ajira nyingi sana
Mimi sijajua kwa njia nyingine. Ila ya dar moro zipo sehemu special kwa kuchimba dawa. Kuna vyoo vya wanawake na wanaume na wanakua wanauza na vyakula. Yani issue ya vichakani nimeshangaa kua bado ipo
 
Ruti ndefu bado IPO na madere aka suka hawapendi kupita break points kwa sababu abiria wanajivutavuta, pori ni rahisi kuwapeleka mchakamchaka
Mimi sijajua kwa njia nyingine. Ila ya dar moro zipo sehemu special kwa kuchimba dawa. Kuna vyoo vya wanawake na wanaume na wanakua wanauza na vyakula. Yani issue ya vichakani nimeshangaa kua bado ipo
 
I love you too 💖
 
ni kawaida mahali ambapo hakuna option ya ni lazima uuvuae uso usio kuwa na aibu..ni sawa sawa wanoenda kwa wagagnga wanaambiwa waoge pamoja na ni watu wamekuatana hapo hapo ,
 
1. Ni kwa sababu wote hatujuani
3. Aibu huja kwa mtu unaye fahamiana naye..
Na ndio maana hata tunapotaka kuchepuka huwa tunatafuta Guest House za mbali na maeneo yetu ambako tuna uhakika wahudumu wa huko hawatufahamu
 
ni kawaida mahali ambapo hakuna option ya ni lazima uuvuae uso usio kuwa na aibu..ni sawa sawa wanoenda kwa wagagnga wanaambiwa waoge pamoja na ni watu wamekuatana hapo hapo ,
Mhhh huu utafiti wako kiboko asee kwamba waoge pamoja hii haijalishi jinsia yako au??
 
Bado mnasafiri na magari yasyo na vyooo? poleni sana mikoa gani hiyo? kwa kina nkapa huko?

sisi huku Bongo-Moshi full self container Mobile, kula menu zetu za kisasa Baby take away milima ya Korogwee! ama Mombo, Himo waweza zurura kidogo, kushangaa mpaka wa kenya Holili,

Lami tupu ilo kolezwa maji mabichi hakuna vumbi. Mungu atupe nini. makabila yote x-mass ni kwenda kutalii tu, kufurahia hizi huduma jamani!

Mleta mada pita huku ujionee mambo usijicheleweshe bana.
 
Kama ni hivi kujambiana kuonyeshana mishedede Moshi- Dar -Arusha sitoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…