Boss au mume?Si alimtambulisha mwenyewe kua ana boss wake, Au wewe hukusikia?
Nini kinafanya uamini wapo wawili? Hana uwezo wa kutubagaza yeye mwenyewe?Nchi ina watoa amri wawili ( ina ma Rais wawili ). Na Rasi Samia Hassan Suluhu, anafahamu hilo.
But soon inchi itafurahi.. Pale tunaposema Uzia alipofariki, Isaya alimwona Bwana. Soon Tanzania laenda timia andiko hili
Fatilia history na pattern, ndio utajua.Nini kinafanya uamini wapo wawili? Hana uwezo wa kutubagaza yeye mwenyewe?
Sio wote tunaamini kuwa Rais Samia ni zuga tuu kuna watu behind. Tunachosema kuna mambo ya ajabu ajabu yanatokea awamu hii ya Samia ambayo ni tofauti na Samia, hivyo tunaamini yamefanywa na wasaidizi wake bila yeye kujua, mfano mzuri ni tukio la kutekwa Mzee Kibao Thread 'Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!Wakuu,
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa dikteta au katili na kuruhusu utekaji na watu kuuliwa, ufisadi, uminywaji wa uhuru wa kujieleza na matukio mengine ya kuminya haki yafanyike akiwa na akili timamu kabisa? Ni Sababu wakati akiwa Makamu alikwenda kumtembelea Lissu alivyopigwa risasi? Kwani mnadhani alikwenda pale bila Magu kuwa na taarifa na kupitisha aende?
Yes tumemfanyia Rais Samia a psychoanalysis tukagundua Thread 'Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...' Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...Au ni ile sura iliyopoa basi inamaanisha na kwenye moyo itakuwa hiyo hivyo? Msafi wa sura, basi ni msafi wa roho? Au sababu ni 'mama' kwakuwa amezaa watoto basi atakuwa na uchungu kwa watoto wengine kama mwenyewe anavyopenda kujinadi?
Sii yeye ni wasaidizi wake!Ni yeye, ni yeye, ni yeye..... mchora ramani na kila kitu, ni yeye, jinsia haibadilishi uhalisia wa mtu!
Kwasababu hana muonekano kama mtangulizi wake! Angekuwa na sura ngumu ngumu hivi, imekaa kibishi labda hapo tungeweza kuamini kuwa ni yeye?🌚🌚 Mama anatuua huku anatabasamu, hatari sana!Sio wote tunaamini kuwa Rais Samia ni zuga tuu kuna watu behind. Tunachosema kuna mambo ya ajabu ajabu yanatokea awamu hii ya Samia ambayo ni tofauti na Samia, hivyo tunaamini yamefanywa na wasaidizi wake bila yeye kujua, mfano mzuri ni tukio la kutekwa Mzee Kibao Thread 'Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!' Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
Yes tumemfanyia Rais Samia a psychoanalysis tukagundua Thread 'Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...' Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Sii yeye ni wasaidizi wake!
Rais Samia ni mtu wa hivi Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Mtu wa hivi hawezi kuwa nyuma ya haya matukio!.
Hata Freeman Mbowe tulimshauri Thread 'Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!' Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
Ila kwa vile power is corrupt and people change, hata kama sio yeye mwenyewe anayetenda ila anajua kinachoendelea, then tumewashauri Thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
If this being the case, tumeshauri Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Hivyo October 29 tukampe akomeshe vitendo hivi!.
P
Mwenyewe kasema kama ni yeye kuua, labda mbu tuu na mende, anaogopa hata kuua Panya!.Kwasababu hana muonekano kama mtangulizi wake! Angekuwa na sura ngumu ngumu hivi, imekaa kibishi labda hapo tungeweza kuamini kuwa ni yeye?🌚🌚 Mama anatuua huku anatabasamu, hatari sana!