ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana
Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500
Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500
Dagaa kilo utakuta 10000-14000
Mafuta ya alizeti lita 5utakuta 25000-30000
Nyama kilo 9000-12000
Yaani ukichunguza utakura bei hazi ruki sana mpaka kutisha ku compare na masoko mengine ila mtu kichwani kwake unakuta anahisi maumivu hata kama ongezeko likiwa hela ndogo tu nazungumzia hasa kwa wafanyakazi ambao wako na mshahara constant.