Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana

Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500

Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500
Dagaa kilo utakuta 10000-14000
Mafuta ya alizeti lita 5utakuta 25000-30000
Nyama kilo 9000-12000

Yaani ukichunguza utakura bei hazi ruki sana mpaka kutisha ku compare na masoko mengine ila mtu kichwani kwake unakuta anahisi maumivu hata kama ongezeko likiwa hela ndogo tu nazungumzia hasa kwa wafanyakazi ambao wako na mshahara constant.
 
UPO WAPI??????
 
Kahama, nzega, maji moto, sumbawanga, kasulu, kagongwa, mchele ni 1200 hadi 1500 , mtwara, newala, tandahimba mchele ni 3500 hadi 4000 ule mzuri, maharage tukuyu muda huu mavuno wanauza kilo moja shilingi 1500 , muleba muda huu maharage ni 3000 kilo moja, machimboni huko vitu bei tofautitofauti , Kwa case ya Dar vitu hasa vyakula bei ni kawaida, mtu alietoka tukuyu wanakovuna maharage muda huu ukimueleza akanunue mtwara ni kumuonea
 
Kwamba difference ya 300/= mpaka elfu 4 kwa unit kwako unaona ni flat rate ?

Take care of the pennies and the pounds will take care of themselves...
 
Nimezunguka Nusu ya Tanzania ila Arusha gharama ya bidhaa ni kubwa
 
Mtwara maisha ni zaidi ya magumu kama hutengenezi hela unaweza Kimbia mchana kweupe

Wanalima korosho ,ufuta na mbaazi tu vyakula vingine vyote vinatoka mikoa mingine.

Kama unataka kutukana viongozi wote wa serikali basi nenda katafute maisha mtwara.
 
Back
Top Bottom