ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
UPO WAPI??????Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana
Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500
Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500
Dagaa kilo utakuta 10000-14000
Mafuta ya alizeti lita 5utakuta 25000-30000
Nyama kilo 9000-12000
Yaani ukichunguza utakura bei hazi ruki sana mpaka kutisha ku compare na masoko mengine ila mtu kichwani kwake unakuta anahisi maumivu hata kama ongezeko likiwa hela ndogo tu nazungumzia hasa kwa wafanyakazi ambao wako na mshahara constant.
Elewa maana ya vyakula vikuu ambavyo vya kuweka storeMtwara parachichi 1000 tsh ukienda njombe ni 200 tsh.
Hata nazi mtwara 400 ambayo ukienda mbeya 1500Mtwara parachichi 1000 tsh ukienda njombe ni 200 tsh.
Kwamba mbeya nyama ni 5000Umeshawahi kwenda Mbeya na Sumbawanga?
Kitu kama hicho, its reasonable kuishi MbeyaKwamba mbeya nyama ni 5000
Maharage kilo ni 2000
Unga dona ni 500?
Mchele mzuri ni 1000?
Kitu kama hicho, its reasonable kuishi Mbeya
Wapi ambapo nyama kilo ni 8000 kwa sasa?kote ni 9000-10000Dodoma ni mji ghali sana kama barcelona nyama buchani 10000/Kg
Kahama 8000W
Wapi ambapo nyama kilo ni 8000 kwa sasa?kote ni 9000-10000