Kwanini tunasoma? Kwanini tunajikweza kwenye madaraka? Ona sasa Ndugai, Bashiru na Kabudi hata sikukuu za mwaka mpya hawaonekani

Kwanini tunasoma? Kwanini tunajikweza kwenye madaraka? Ona sasa Ndugai, Bashiru na Kabudi hata sikukuu za mwaka mpya hawaonekani

Kwani pamoja na kuto onekana,umewazidi nini kimaisha!!!
Pambania familia yako Mkuu,ata Makonda alinangwa leo anakula maisha kapewa na Land cruiser LC mbichi kabisa!
Huyo Ndugai anatunzwa na serikali mpaka kifo na Professor Kabudi ata akiwa nje ya siasa atapiga dili za legal consultancy na kulamba midola.
Sasa wewe Kajamba nani una nini!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
acha dharau,mtu ni mtu
 
Hawa niliowataja ni baadhi ya watanzania waliosoma kwa tabu, wakafanya kazi za umma kwa tabu kisha wakateuliwa kukaa mezani na mfalme

Wakiwa wanahudumu kwa mfalme wakadhani mfalme ndo kila kitu; wakatamka adharani kuwadharau watu kwa umaskini wao wa maarifa au uchumi.

Wanaamini maisha siyo kuishi kama ulivyokuzwa bali nikuishi kama wakubwa wanavyotaka. Bila kushurutishwa wakawa wanatoa kauli za kuumiza na siyo kauli za faraja. Lastly tena wakiwa uzeeni wale wale waliowapa kiburi wakawafedheesha kisiasa. Wakapoteza hadhi zao wakati huo wamepoteza asilimia kubwa ya ndugu na marafiki wa kweli.

Marafiki wao wapya wamewakataa na sasa hata nyumba za ibada hazina muda nao. Wanaweza wakawa binadamu wanaoishi kwa shida sana nchini. Siyo kiuchumi bali kijamii.

Tusipojifunza kwao tunaweza tusipate mifano mizuri yakujigunza. Ninachoweza kusema, upo umuhimu wakuishi maisha yako binafsi na ukatoboa. Mfano mzuri ni Mzee wetu Magufuli, hajawahi kuigiza maisha wala kuwa mnafiki apewe cheo. Hata alipodharaulika akapewa wizara ya vitoweo alipiga kazi hadi waliotaka kummaliza kisiasa wakatambua wamempa mailage zaidi na walianza wenyewe kumsifia.

Tunahitaji taifa lenye viumbe wenye misimamo iwe mizuri au mibaya ila iwe real. Hawa vinyonga wameisha kisiasa lakini wametuachia funzo kwamba hakuna binadamu atadumu na kumaliza salama safari ya UCHAWA.

HERI YA MWAKA MPYA KWA CHAWA WOTE, JITAFAKARINI
Ndungai anajengewa nyumba, yeye na mkewe anaendelea kula mshahara wa speaker maisha yake yote na mkewe nusu ya mshahara wa speaker. Kila baada ya miaka 5 anabadilishiwa gari mbili.
Mkuu kwa jinsi walivyijipanga hata usipomwona jua anakula mema ya nchi
 
Back
Top Bottom