Kwanini tunataka Mangungu aachie ngazi? Nyie mnaomtetea Mangungu someni hapa

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge.

Kumekuwa na mvuragano mkubwa miongoni mwa wanachama kuhusu uongozi wa Simba, kuna wanaotetea uongozi wakiongozwa na wazee na kuna wanachama wengi wao vijana ambao wanaona Mangungu ni tatizo.

Hawa wote wana haki ya kutoa maoni yao.

Mm ni mmoja wa watu ambao niko pamoja na tunaomtaka Mangungu aachie ngazi, namuunga mkono pia Kaduguda ambaye hayuko upande wa Mangungu.

Mangungu alimshinda Wakili Kaluwa ambaye alishindana naye awamu ya pili, Kaluwa ni mgombea wa friends of Simba, kundi ambalo linafatilia kila kinachoendelea ndani ya uongozi wa timu hiyo.

Kundi hili kupitia Kaluwa lilishindwa kwenye uchaguzi na likadai kuwa mgombea wao aliibiwa kura.

Kundi hili halitaki kabisa kuona Mangungu akifanikiwa, kwahiyo Mangungu hata iweje hatofanikiwa ndani ya uongozi wa Simba.

Narudia hawa marafiki wa Simba ambao wanaishi kupitia hii timu yetu hawako tayari kuiona Simba inapata mafanikio kupitia uongozi wa Mangungu.

Kwa sababu Mangungu alimshinda kwa hila mwenzao.

Hivyo watampigisha shoti kuanzia mwanzo had anamaliza uongozi wake aondoke zake.

Mipango yote inayopangwa na uongozi wa Mangungu kwa sababu yeye sio mtu wa mpira wale marafiki wanaijua, wanamchomesha maindi mwanzo mwisho.

Wachezaji wakisajiliwa tu wanapigwa pini, hata Dana Dana kupiga hawajui lkn huko walikotoka walikuwa moto, wale akina Fredy Michael sijui Jobe sio magarasa wale lakinj pini mwanzo mwisho.

Hata hawa mnaosajili ss hv wanakula pini kuanzia pale airport, hawatafukuta mwanzo mwisho.

Sasa tunapomuomba Mangungu aachie ngazi sio kwa ubaya, tunamuomba afanye hivyo kwa maslahi mapana ya klabu yetu, vinginevyo Simba haitoifunga yanga milele.

Weng wasiompenda Mangungu wanajua mashabiki hawapend Simba ifungwe na Yanga, kwahiyo hiyo ndio sehemu ya kumpigisha shoti Mangungu, tukae tukijua kama Mangungu hatowajibika ngao ya hisani kilio tena.

Wao wanamchekea Mangungu na yeye anaona yuko pamoja nao lkn ukweli hakuna anayempenda, Mangungu akiifunga Yanga washabiki watampenda hivyo dawa ni kushirikiana na Yanga tufungwe ilk Mangungu atukanike.

Na jamaa ni jeuri na mbishi atari, Simba ikifungwa ukweli hakuna kiongozi anayeumia, mara 5 mfululizo tunafungwa halafu hakuna commitment yoyote.

Nawahakikishia chini ya uongozi wake, hata msajili Wachezaji wa PSG na kocha awe Luis Enrique Simba haiwezi kufanya vizuri endapo Mangungu ataendelea, kukaa kwake pembeni ni kuruhusu wengine waingie, hapo ndipo utaion Simba ya kweli.

Mimi nimeapa, naahidi cwez tena poteza muda wangu kushangilia na kuwaunga mkono watu wa aina hii.

Nyie wazee msiojielewa endeleeni kuiteketeza Simba, mwakani yanga bingwa, wa pili azam, wa tatu Singida sisi ndio wa 4.
 
Mangungu for life.

Kiongozi Bora husimama imara kwenye shida
 
Murtaza Mangungu na Genge lake Wote Wanatakiwa Wafungashe Virago Haraka iwezekanavyo kuondoka Pale SIMBA Tulete Viongozi vijana kama kina Swed NKWABI Mangungu Pandikizi la Utopolo ilo
 
Pandikizi tena?
 
Umeandika Ukweli mtupu kwa Hisia kali sana.
Friends of simba wanaitaka timu yao kwa udi na uvumba, kwa gharama zozote.

Wanaipigisha sana timu shot i ianguke.
Mangungu amewekwa pale na kiongozi mmoja mkubwa wa Selikali kwa Makusudi kabisa.

Sema mwamba ana Roho ngumu sana.
 
Sisi mashabiki wa simba tutamlinda Mangungu kwa wivu mkubwa. Mangungu ndiyo mhimili wa klabu yetu. Na nyinyi mnaompinga Mwenyekiti wetu Mangungu, mtakuwa mmetumwa tu na Bosi wenu Moo.

Mangungu bado yupo yupo sana. Na uchaguzi ujao ikimpendeza atuletee Pacome Zouzoua kutusalimia, badala ya Manzoki.
 
Back
Top Bottom