Kwanini tunatumia majina ya bandia?

weka sasa
 
CCM Sio watu wazuri wale..
ukiwaambia ukweli wanakunyoosha
wanakutoa kucha..

mimi ni evans greatdeal hapa jf...lamwanzo sahihi
la mwisho ni mtetema mbwilo..
mwingine aseme bas kma mie jina lake halisii..................
teh teh
 
SIKU nape akiamka vibaya akidai fake id account zfungwe otherwise real names mtaichukia tz
 
mimi nilianza na jina langu original lakini nilipoona asilimia kama 90 mnatumia fake nikamuomba invisible anibadlshe bt cjajua sababu?
Na mimi ilikuwam hivyohivyo! Taratibu ni kama sharia!
 
Hata tuwapo mashuleni huwa hatuitwi kwa majina yetu bali tunaitwa kwa majina ya baba zetu au babu zetu. Hizi ni a.k.a tunazohitaji watu watujue na kutuita hivyo, achilia mbali jina lako halisi.
 
''Kama nikijitambulisha kwa jina langu humu nitafukuzwa kazi na kupelekwa kusikojulikana''..alisikika akisema member mmoja humu!!
 
kwani majina yetu wayajua wewe? kwani picha zetu wazijua? kama bandia ni wewe bwana
 
Jamiiforums wengi ni watu wazima wenye akili zao timamu, simu kama insta na Fb unazozisema...
Yani kweli jf kuna ma great thinker hakuna vilaza na huku tunataka ideas tu sio utoto na kutaka misifa na kuonekana kama fb na insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…