evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
teh teh mkuuHaki ya Mungu tena jina langu ndio hilo hilo.......
sio kweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh mkuuHaki ya Mungu tena jina langu ndio hilo hilo.......
weka sasaHi,
Hivi nauliza kwanini wengi wetu huku jukwaani hatujitambulishi kiuhalisia na kuweka picha mbona kule insta na fb mnajiachia.huku mnaogopa nn au hii n blog ya kutoa siri zako na za wengine ndo mana hatutaki kujuana.me leo taanza kuweka picha halisi
Ataeniiga w kwanza namtumia JF money chap
Na mimi ilikuwam hivyohivyo! Taratibu ni kama sharia!mimi nilianza na jina langu original lakini nilipoona asilimia kama 90 mnatumia fake nikamuomba invisible anibadlshe bt cjajua sababu?
Yani kweli jf kuna ma great thinker hakuna vilaza na huku tunataka ideas tu sio utoto na kutaka misifa na kuonekana kama fb na instaJamiiforums wengi ni watu wazima wenye akili zao timamu, simu kama insta na Fb unazozisema...
Mbona kwenye mitihani wanaweka namba badala ya jina na hujaulizaSIKU nape akiamka vibaya akidai fake id account zfungwe otherwise real names mtaichukia tz