Kwanini tunatumia majina ya bandia?

Kwanini tunatumia majina ya bandia?

Salaam kubwa wana MMU baada ya kufanya mazoezi ya kuandika thread hatimaye nimeandika...
-hivi ilitokeaje mpaka wote tukawa tunatumia majina bandia
hili jambo limekuwa likinitatiza hebu nisaidieni
ni matumizi ya uhuru wa kuchagua jina binafsi, kama mbadala wa jina bandia la kiarabu au kizungu ulilopewa na wazee wako usilolipenda.
 
Salaam kubwa wana MMU baada ya kufanya mazoezi ya kuandika thread hatimaye nimeandika...
-hivi ilitokeaje mpaka wote tukawa tunatumia majina bandia
hili jambo limekuwa likinitatiza hebu nisaidieni

Tumia jina lako halisi ndugu. Kuna mtu alikuambia utumie jina bandia humu?
 
Mimi natumia jina langu halisi mbona?? Ngoja walionabandia tuwasikie
 
Jina langu halisi ndio nnalotumia wahusika wa majina yasiyo halisi watoe reason za wao kutumia fake names
 
Hi,
Hivi nauliza kwanini wengi wetu huku jukwaani hatujitambulishi kiuhalisia na kuweka picha mbona kule insta na fb mnajiachia.huku mnaogopa nn au hii n blog ya kutoa siri zako na za wengine ndo mana hatutaki kujuana.me leo taanza kuweka picha halisi
Ataeniiga w kwanza namtumia JF money chap
 
we mbona unajina bandia kwanin? avatal yako sio ya picha yako why....

ukijibu basi utakuwa umejijibu
 
Jamiiforums wengi ni watu wazima wenye akili zao timamu, simu kama insta na Fb unazozisema...
 
Back
Top Bottom