Azizi Afya
New Member
- Aug 14, 2024
- 2
- 1
Ili usipatwe kuumwa na maradhi ninashauri usile vyakula vinatengenezwa Maviwandani kama mfano vyakula vya makopo juisi za maboksi Askrim zote soda zote Energy Drink zote na vyakula feki Vinavyotengenezwa na binadamu kama mfano chips, Maandazi,chapati, vitumbuwa kalumati Tambi makoronya Keki na Sambusa na mfano wa hivyo. Punguza au acha kula vyakula vyenye madini mengi ya uwanga kama viazi mbatata na vinginevyo. Acha kunywa maziwa ya chupa au makopo mtindi, nyama ya n'gombe, mbuzi kondoo, kuku wa kizungu.Acha kula ugali punguza au acha kula kwa wingi wali aka mchele. Kula vyakula vya Nafaka isiyo kobolewa usile vyakula vilivyokobolewa. Acha uzinzi acha ulevi kunywa kwa siku maji lita 3 na nusu Fanya mazoezi ya kutosha pata usingizi kwa usiku ikifika saa 4 usiku kalale upate kuamka saa12 alfajiri kwa kujiandaa kwenda kutafuta riziki yako. Ondosha Stress punguza hasira Ukifanya hivyo ushauri wangu hutoweza kuumwa na maradhi yoyote yale na utakuw ana Afya bora kabisa.Sababu za kijenetiki, vimelea, mazingira, mtindo wa maisha, na kinga ya mwili zinaweza kushirikiana na kusababisha magonjwa mbalimbali. Kila moja ya sababu hizi ina nafasi yake katika kusababisha ugonjwa, na kwa pamoja zinaweza kuunda mazingira yanayofanya mwili kuwa hatarini zaidi kwa magonjwa. Hapa kuna jinsi sababu hizi zinavyoshirikiana na jinsi ya kuziepuka.
.
Unadhani kipi tukibadilisha tutakuwa na afya bora. View attachment 3080146