Kwanini tunaumwa

Kwanini tunaumwa

Azizi Afya

New Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Sababu za kijenetiki, vimelea, mazingira, mtindo wa maisha, na kinga ya mwili zinaweza kushirikiana na kusababisha magonjwa mbalimbali. Kila moja ya sababu hizi ina nafasi yake katika kusababisha ugonjwa, na kwa pamoja zinaweza kuunda mazingira yanayofanya mwili kuwa hatarini zaidi kwa magonjwa. Hapa kuna jinsi sababu hizi zinavyoshirikiana na jinsi ya kuziepuka.
.
Unadhani kipi tukibadilisha tutakuwa na afya bora.
7634ef5998995c5f037f90a5313473b1.jpg
 
Sababu za kijenetiki, vimelea, mazingira, mtindo wa maisha, na kinga ya mwili zinaweza kushirikiana na kusababisha magonjwa mbalimbali. Kila moja ya sababu hizi ina nafasi yake katika kusababisha ugonjwa, na kwa pamoja zinaweza kuunda mazingira yanayofanya mwili kuwa hatarini zaidi kwa magonjwa. Hapa kuna jinsi sababu hizi zinavyoshirikiana na jinsi ya kuziepuka.
.
Unadhani kipi tukibadilisha tutakuwa na afya bora. View attachment 3080146
Ili usipatwe kuumwa na maradhi ninashauri usile vyakula vinatengenezwa Maviwandani kama mfano vyakula vya makopo juisi za maboksi Askrim zote soda zote Energy Drink zote na vyakula feki Vinavyotengenezwa na binadamu kama mfano chips, Maandazi,chapati, vitumbuwa kalumati Tambi makoronya Keki na Sambusa na mfano wa hivyo. Punguza au acha kula vyakula vyenye madini mengi ya uwanga kama viazi mbatata na vinginevyo. Acha kunywa maziwa ya chupa au makopo mtindi, nyama ya n'gombe, mbuzi kondoo, kuku wa kizungu.Acha kula ugali punguza au acha kula kwa wingi wali aka mchele. Kula vyakula vya Nafaka isiyo kobolewa usile vyakula vilivyokobolewa. Acha uzinzi acha ulevi kunywa kwa siku maji lita 3 na nusu Fanya mazoezi ya kutosha pata usingizi kwa usiku ikifika saa 4 usiku kalale upate kuamka saa12 alfajiri kwa kujiandaa kwenda kutafuta riziki yako. Ondosha Stress punguza hasira Ukifanya hivyo ushauri wangu hutoweza kuumwa na maradhi yoyote yale na utakuw ana Afya bora kabisa.

KULA KWA WINGI VYAKULA VISIVYOKOBOLEWA HUIMARISHA KINGA YA MWILI 👇​

VYAKULA VISIVYOKOBOLEWA HUIMARISHA KINGA.jpg

MATUNDA YANAYOFAA KULIWA KILA SIKU. 👇

MATUNDA YANAYOFAA KULIWA KILA SIKU.jpg

MBOGA ZA MAJANI ZINAZO FAA KULIWA KILA SIKU. 👇

MBOGA ZA MAJANI ALIZO TUSHAURI RIP DR.SEBI TUWE TUNATUMIA KILA SIKU NI HIZI HAPA CHINI.jpg

USILE AU PUNGUZA KULWA KWA WINGI VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU. 👇

USILE VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU..jpg
 
Attachments

  • USILE VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU..jpg
    USILE VYAKULA VINAVYO ANZIA NA HERUFI A,C,D NA E. KULA VYAKULA VYA HERUFI B TU..jpg
    58.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom