Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

Uko sahihi
Lengo la uboy friend na girlfriend
Ni kutambuana tabia na kujengana kwaajili ya ndoa badae
Sema vijana wa sikuhizi wanakiuka
Wanaanza kuzagamuana
 
Watakuja kusingizia magonjwa, magonjwa na mimba za zisizotarajiwa ni utashi wa akili ya mtu, huwezi kua unatembea na kila ke/me unayemuona na pia bila kutumia kinga alafu uepukane na magonjwa, lazima utapata
Umenena vyema mkuu🀝
 
Hakuna kitu kama hiko huo ni uzinzi kama uzinzi na uasherati mwingine. Biblia haijafundisha hivyo na hilo suala limekaa katika utamaduni wa Kizungu na sio kila utamaduni wa kizungu ni Ukristo kwani uzungu na Ukristo ni vitu viwili tofauti.

Biblia hatujafundishwa mila na tamaduni za kiyahudi tumefundishwa kuishi kwa kumjua Mungu wa Kweli na Yesu Kristo aliyemtuma na huo ndio uzima wa milele.

Dini yoyote ni lazima ilete utu, ustaarabu na kubadilisha watu katika kuishi maisha ya kumjua Mungu thus why tumejengwa katika upendo.
 
Wenzenu walishatoka huko kwenye hivyo vitabu!,hivyo vitabu it's only brainwashing machine!.
akina nani waliishatoka kwenye hivyo vitabu!!
wao ndio watu ambao mtoto wa miaka 6 anamtambulisha kwa wazazi boyfriend wake,na hawafanyi upuuzi mpaka muda ufike.
Fikiria ukae na upwiru wako toka umebalehe kisa unamsubiri wakuja kuolewanae!, what if asipopatikana.
upwiru ni mtazamo tu,kwani wewe siku umebalehe tu ulipewa K??wengi tumebalehe miaka 17 ila mwanamke tumekuja kumjua miaka 21-22.
nje ya kucheza cheza utotoni.
Uhalisia wa maisha haupo hivyo na ndio maana watu wanatumbukia kufanya tu then anajidanganya anatubu kesho Tena upwiru ukimkamata anafanya...
uhalisia ni upi??kunyanduana mpaja wanaume kwa wanaume kwa kuwa miili yetu inatuagiza hivyo au kusimamia miiko na maadili ya kijamii na kidini!!!
Ni ngumu kushindana na mwili wako mwenyewe ukiamua kukupeleka unakupeleka tu.. the same God who says "Usizini" it's the same God who made you with upwiru!...
Yes na alijua kuna wapuuzi ngono watafanya ni hitaji la kwanza la muhimu la maisha,wakati haina umuhimu huo.
And also it's the same God who made a devil!,not only that it's the one who will dump you in fire for your sins!.
Yes,zini mpaka kidudu kirudi ndani.ila ujue kabisa hakuna faida yoyote zaidi ya kujiingiza kwenye adhabu kwa uchaguzi wako mwenyewe.
This is very crazily movie...πŸ˜…
the movie that starts with funny but ends thrilling staffs,like squid game.
 
πŸ₯Ή πŸ₯Ή dah kwa kweli, ila ngoni mbali
naomba usiku mchana Mungu aondoe UTI na wenzake wooote
na mimi niwe nachangia kule kula kimasihara
Kumbe nia yako kula kimasikhara sio kuoaπŸ˜‚πŸ˜‚...ila ngoni mbona sio mbali huku,, ningekupa cousin wangu hapo mtwara sema mmezidi kutusema sana wamakondeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ukiwa na tabia ya kuchunguza maisha ya watu always kila jambo linalofanywa na binadamu utaona wanakosea .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi
Lengo la uboy friend na girlfriend
Ni kutambuana tabia na kujengana kwaajili ya ndoa badae
Sema vijana wa sikuhizi wanakiuka
Wanaanza kuzagamuana
Nakumbuka zamani haya makanisa ya walokole walikua wanawacheka wakatoliki na waanglikana eti kwanini wanafungisha ndoa kwa watu ambao tayari wameshazaa kwamba eti ni uzinzi lakini sikuhizi cha kushangaza sikuhizi makanisa ya walokole na wao wanafungisha ndoa mwanamke ana mimba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€yaani imekua kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…